Ofisi ya waziri mkuu yageuka kuwa mahakama kuu katika sakata la madaktari

matatizo la viongozi wetu ukishateuliwa unachukua ndugu na jamaa zako wawe wasaidizi wako. kulikuwa na ugumu gani kuwapa pesa mahakama wakalipie hayo matangazo. who is the isuing authority? nasikia kama kawa mahakama imekaa usiku. Lawyers hv isue ya resonable hrs imekaaje?
 
Imetolewa na ofisi ya Waziri Mkuu!!! duuu......nchi hii bana.
Mkuu nionacho hapo ni kama vile kuna watu wamejifungia kwa waziri mkuu wakatengeneza ban ya mgomo(ya kichina) na kuweka citation ya jaji R.A. Rweyemamu. Huku wakiwa wemejisahau kabisa kuwa ofice ya pinda ndo mlalamikaji! poor them
 
Back
Top Bottom