Elections 2010 OFFICIAL RESULTS: CHADEMA yashinda kata 9 Musoma mjini

mudushi

Senior Member
Oct 19, 2010
151
84
Habari ambazo nimezipata kutoka musoma ni kuwa Nyerere wa CHADEMA Musoma anaongoza katika kata 14, tena kwa mbali kabisa. Chanzo kinaaminika kabisa. Wananchi wako barabarani kuhakikisha usindi hauporwi. Kazi nzuri wanajeshi wa MSM
 
Mwambie huyo atupe number kamili hapa, pamoja na za uraisi. Maneno tu hayatupi hamasa kubwa
 
Habari ambazo nimezipata kutoka musoma ni kuwa Nyerere wa CHADEMA Musoma anaongoza katika kata 14, tena kwa mbali kabisa. Chanzo kinaaminika kabisa. Wananchi wako barabarani kuhakikisha usindi hauporwi. Kazi nzuri wanajeshi wa MSM

Musoma sina wasiwasi.

Huko usanii hauruhusiwi maana hawaogopi kufa
 
Mzee kazi nzuri.
Hebu tupe in figures ili tuwafowadie hao majambazi wajue statistically tunavyotisha!
 
Rukwa nako chadema anaongoza kwa mbali akifuatiwa na ccm almost kwa half way. Source: Chanel ten
 
Nimefurahi sana kwa hizo taarifa za Musoma ukizingatia na mimi natoka huko (Tarime)!Tunaomba figure kaka,
 
tehe wafipa wote posuta. saafi saana mnanikumbusha miaka ya mwanzo ya themanini niliishi maeneo ya regional block pale nikiwa na umri wa miaka 5 hadi kumi kunasiku bana totoz za kifipa zilikatiza mitaa yetu basi tukawa tunawashangaa hawa kuku wa kienyeji wanatoka wapi huku, basi demu akafuambia eti mnanishangaa mnadhani mtanijua mimi ni bayankata,niliuliza kwa mtu mmoja akaniambia bayankata maana yake ni jua. SASA CCM Wasicheze na bayankata.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom