Official Caf social media pages inaendeshwa na nan?

mugah di matheo

JF-Expert Member
Jul 28, 2018
6,276
12,336
Habari za muda huu wadau.
Leo nimekuja na swali dogo tu nani anaendesha account za mitandao ya kijamii ya caf? Ni nafasi ya kuomba ama ni nafasi ya teuzi?
Ni hilo tu wakubwa
 
Kuna nchi ngapi Africa ambazo zins timu caf kwenye mashindano makubwa
Just cool down
 
Habari za muda huu wadau.
Leo nimekuja na swali dogo tu nani anaendesha account za mitandao ya kijamii ya caf? Ni nafasi ya kuomba ama ni nafasi ya teuzi?
Ni hilo tu wakubwa
 
Watanzania wengi ndio wanafatilia hiyo page kwa sababu hawana kazi ya kufanya na pia bando lipo chini...

Kwa hyo lazima waposti ili kuwafariji follower wengi
 
Back
Top Bottom