B H
Senior Member
- Mar 28, 2011
- 104
- 9
dharau hizo mkuu
nyie ndio mnatuletea dharau humu ndani...
dharau hizo mkuu
dah kweli wananchi mna hasira...afu binadamu wa humu ndani kwann mmekaa kishari shari sana,kuna wengine hapa ingekua face to face ningeshakula makofi tena mengi tu...Hayo ni mawazo yenu ndugu wateja afadhali nyie mnaosema kuliko wanaohama kimya kimya...Mnasema kwa sababu mnaipenda Airtel...ofa nyingi zaid zinakuja mtachoka nyie tu!,Justwait the time is coming
mkuu sio kawaida kwa wananchi kuwa na hasira ila kuna vijimambo vidogo vidogo vinavyo kela kama umwisoma post yangu ambayo ndio iliyo fungua ukurasa nadhani umepata picha.mimi ninaishi.shinyanga niliwahi kupigiwa simu toka zain wakihitaji maelezo yangu yatakayo wasaidia kunifikishia zawdi yangu huku.bila hiyana nilijikuta na mzee mzima ninajieleza kwa ufasaha huku nikichekelea. looh!!!!!!!!!! kumbe nilikuwa ninazugwa kitoto ili nisiendelee kulia.mwe!!! tangu siku hiyo nikawa kila nikipiga simu kuuliza wamefikia wapi juu ya ile kadi waliyo niahidi majibu ikawa oooh bado inatengenezwa mala oh! tutakutumia mala njoo dar. bahati nzuri kama mala mbili tatu hivi nilifika katika jengo la zain pale morocco,hilo jengo unapoingia tu mkono wa kulia ndipo kipo kile kitengo cha rewardz.huku nikichekelea kwamba leo ninapata ile gift yangu.mweeeeeeee!!!!!!!! nilipo waeleza tu wakaanza kuni chukua maelezo tena huku wanapekuwa katika computer yao pale.majibu nilyopata nikuwa kweli ndugu ********** umeshinda kadi sijui in gold sijui silver .kwamba wewe nenda tu kadi yako bado inatengenezwa. mkuu kama kweli mnatujari kwanza tupeni maelezo yatakayo jibu maswali yetu hapa.
Siku nyingine makampuni ya simu yatambue kuwa si wateja wao wote ni watoto.
Matangazo yao mengi ni ya kitoto toto.
Mpango wa rewards points nao ulionesha mambo ya kitoto. Lo! Bila kujali mteja and rewards points ngapi, wote tulisukumiziwa toys. Mimi niliporudi home nayo, mtoto akalilia akijua ndiye mwenye right ya kuchezea toy na si mzazi. Ikabidi nimpe.
UKIONGEZA SALIO UTAWEZA KUPATA
Dakika za bure;message 100 na MB200
kuangalia dk bonyeza *102*05# ok;
kuangalia message bonyeza *102*15#;
kuangalia salio la data bonyeza *102*06# ok.
Offer hiyo inaanza kutumika saa sita usiku hadi kumi na mbili hasubuhi
HAMIA AIRTEL
dah kweli wananchi mna hasira...afu binadamu wa humu ndani kwann mmekaa kishari shari sana,kuna wengine hapa ingekua face to face ningeshakula makofi tena mengi tu...Hayo ni mawazo yenu ndugu wateja afadhali nyie mnaosema kuliko wanaohama kimya kimya...Mnasema kwa sababu mnaipenda Airtel...ofa nyingi zaid zinakuja mtachoka nyie tu!,Justwait the time is coming
alafu internet speed yenu siku hzi ipo slow sana mpaka wengi tunabidi tujiunge na light ya tigo 450 kwa siku mbili then unlimited
hamuoni kama mnatuingiza gharama mara 2?
UKIONGEZA SALIO UTAWEZA KUPATA
Dakika za bure;message 100 na MB200
kuangalia dk bonyeza *102*05# ok;
kuangalia message bonyeza *102*15#;
kuangalia salio la data bonyeza *102*06# ok.
Offer hiyo inaanza kutumika saa sita usiku hadi kumi na mbili hasubuhi
HAMIA AIRTEL
acheni wizi nyie watu,mie jana nimeweka 5000 na nikapata msg kuwa nimepewa sijui msg na muda wa maongezi na data bure.ila kila nikicheki naambiwa una msg 0,mb 0 na msg 0.
maana yake nn?
na huo muda c wa kulala?
bora msingeweka kabisa
Tangazo hili inafaa mulipeleke kwenye shule za secondary na primary. Kweli AIRTEL mumechoka
dah kweli wananchi mna hasira...afu binadamu wa humu ndani kwann mmekaa kishari shari sana,kuna wengine hapa ingekua face to face ningeshakula makofi tena mengi tu...Hayo ni mawazo yenu ndugu wateja afadhali nyie mnaosema kuliko wanaohama kimya kimya...Mnasema kwa sababu mnaipenda Airtel...ofa nyingi zaid zinakuja mtachoka nyie tu!,Justwait the time is coming
UKIONGEZA SALIO UTAWEZA KUPATA
Dakika za bure;message 100 na MB200
kuangalia dk bonyeza *102*05# ok;
kuangalia message bonyeza *102*15#;
kuangalia salio la data bonyeza *102*06# ok.
Offer hiyo inaanza kutumika saa sita usiku hadi kumi na mbili hasubuhi
Tangazo lako lipo Kipropaganda zaidi, Ulipaswa kutueleza in data bases kuwa ukiongeza kiasi cha shilingi kadhaa, unapata hizo msg Kadhaa na MB Kadhaa, otherwise nachukulia kama propaganda za kujivua gamba ambazo kimsingi hazina tija kwa Mteja na zaidi kumchosha!
Halafu nashindwa kuwaelewa hivi Airtel, mna uchungu kweli na Taifa hili au ndo kwa kujinufaisha wenyewe maana kumwambia mtu akae hayo masaa akisubiri ofa ni kufanya ufanisi wa kazi upungue kwa kuwa watanzania badala ya kuchapa kazi watakuwa wanasinzia kufidia usingizi walioupoteza wakati wa kujinufaisha na Ofa!, Kama ni vipi why cant you specify kuwa mna walenga watu fulani ambao kwa kweli kwa usiku wanakuwepo katika majukumu ya kujenga nchi ikiwa ni pamoja na Ma-nurse na Doctors?
Angalieni Bana matangazo mengine mnajishushia hadhi na kudhoofisha heshima yenu kidogo mlionayo!!!