Ofa baab kubwa..

Junior. Cux

JF-Expert Member
Feb 3, 2011
5,319
3,767
Vizuri kula na wenzako, sio mbaya leo nmejisikia kuwatoa out wadada watatu wa jf kwa pamoja..
its juc simple, unaandikia bajeti yako ya usiku mzima wa leo,
kwa wale watakaokua na gharama kubwa ndo ntatoka nao.!!! Only xpensive chicks...
 
Nilikuwa nataka nione why wadada hawajachangamkia hiyo ofa, au wanakuogopa Junior?
 
Vizuri kula na wenzako, sio mbaya leo nmejisikia kuwatoa out wadada watatu wa jf kwa pamoja..
its juc simple, unaandikia bajeti yako ya usiku mzima wa leo,
kwa wale watakaokua na gharama kubwa ndo ntatoka nao.!!! Only xpensive chicks...

You want their Bill of quantity???...
 
Back
Top Bottom