Kwa wale wajuvi wa hizi habari,Octane rating ya regular gasoline tanzania ni ngapi?na kwa ile Premium,je ni ngapi?
huwa zinapimwa kama ifuatavyo..,89,91,93,95,97,98 etc.kila nchi ina za kwake lakini hizi ndio nazifahamu miye,za TZ sizijui.mwenye kuzijua atuhabarishe.