OCD Arusha afutwe kazi

Mkuu wewe ni mgeni na serikali hii ya kidhalimu? Huyu usijeshangaa kusikia kaukwaa u-RPC.
 
Mkuu huyu Zuberi usifikiri anafanya hayo kama hajui ni vibaya isipokua anatekeleza order mbalimbali kutoka kwa wakuu wake huko juu kwa hyo kumfuta kazi sio rahisi kwani wao ndio wanaomtuma mkuu
 
Halafu jamaa yangu kaniambia huyu OCD ni mdini anachokifanya kina udini nyuma yake.
 
Mkuu wewe ni mgeni na serikali hii ya kidhalimu? Huyu usijeshangaa kusikia kaukwaa u-RPC.
Ni kweli kabisa, sababu kuu iliyompa Mahita u IGP wakati ule ilikuwa kuweza kumzibiti Mrema. Lakini wote tulishuhudia jinsi Mahita alivyogeuka kufadhili maovu kwa kutumia cheo chake.
Ndio ubaya wa kutoa vyeo ovyo ovyo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom