OCA & OCP IT Certifications in Tanzania

Einstein

Senior Member
Dec 5, 2009
121
26
Habari wana - JF,

Kwa wale wana-IT napenda kufahamu mahali na gharama za mitihani ya (Oracle Certified Associate)OCA na (Oracle Certified Proffesional)OCP Tanzania

Pia ni mahali gani naweza fanya hii mitihani?
 
Back
Top Bottom