You are as stupid as your thoughts. what is good about this stupid Trump who only dreams of building walls between him and other people? If not creating barriers, his other main dream is colonizing Africans. To hell with Trump and whoever supports him.
Anachefua si kidogompumbavu kabisa huyu tumbili.
Kwani Africa hatutawaliwi? Kuna kitu kinaitwa ukoloni mambo leo. Huu ni mbaya kuliko ule wa direct. Maana tunajiona tupo huru, kumbe hakuna kituYou are as stupid as your thoughts. what is good about this stupid Trump who only dreams of building walls between him and other people? If not creating barriers, his other main dream is colonizing Africans. To hell with Trump and whoever supports him.
Nakubaliana nawe kabisa ktk maoni yao kuhusu huo uvamizi. Kosa siyo matayarisho. Kosa ni lile lile linalorudiwa na viongozi wa Marekani tena na tena la kuvamia nchi za watu na kudhani watatengeneza visattelite vyao (natumia euphemism hapo).Kosa kubwa zaidi ni kule kudhani walilokosea Libya ni kutoandaa Mazingira mazuri baada ya kuivamia na Kumuondoa Ghadafi.
Kama Libya ingekuwa inatawalika leo kwao Uvamizi ule ungekuwa halali.
Namkubali sana Donald Trump kwa kuwa Mungu kamuwezesha kutokuwa Mnafiki ana ujasiri wa kueleza hisia zake za kweli
Iraki,sirya,libya,na nchi nyigine zinazozalisha wakimbizi ulaya ndo majuto yatakapo zidi baada ya watu hao kuzaliana na kuondoa vizazi vyaobarafu
Hawa jamaa sijui Mashetani???
Iraqi walikosea kumuondoa SADAM
Libya walikosea kumuondoa Col: Gaddaffi
Afghanistan walikosea kuwaondoa TALIBAN
Somaliya walikosea kumuonda SIAD BARRE !!!
View attachment 336567
Rais wa Marekani Barrack Obama amesema katika mambo anayoona alifanya vibaya katika uongozi wake ni ule uamuzi wa kuivamia Libya na kumuondoa Rais wa nchi hiyo Muamar Ghadafi.
Obama amesema hayo wakati akihojiwa na kituo cha Luninga cha Fox News cha nchini Marekani.Amasema kosa kubwa ktk uongozi wake ni kuivamia Libya huku akiwa hajajiandaa kuweka mazingira mazuri ya utawala baada ya kumuondoa Ghadafi.
Msome zaidi hapa Obama ajutia makosa ya Marekani nchini Libya - BBC Swahili
Walibya wadai fidia ya $ trilion 900 kuirudisha Libya!
Walimuondoa Col:G lakini na waLibya wakamuondoa Balozi wao kwa kumteketeza ndani ya jahanamu hapohapo ubalozini !!!Hapo kwenye red, sio sahihi. Ukimsikiliza Obama mwenyewe na hata ukipitia article ya BBC utapata ujumbe tofauti na ulichoandika. Alichosema Obama ni kwamba Marekani haikuwa na mpango wa nini cha kufanya mara baada ya kumuondoa Ghadafi, lakini kumundoa Ghadafi bado wanaona walikuwa sahihi.
Hapo kwenye red, sio sahihi. Ukimsikiliza Obama mwenyewe na hata ukipitia article ya BBC utapata ujumbe tofauti na ulichoandika. Alichosema Obama ni kwamba Marekani haikuwa na mpango wa nini cha kufanya mara baada ya kumuondoa Ghadafi, lakini kumundoa Ghadafi bado wanaona walikuwa sahihi.
Ndio mana nachukia wale wajinga wanaoitwa ICC wanataka nn tena kama ameshakiri mwenyewe kwann asikamatwe kwa mauaji ya Kiongozi wa Nchi na kuiharibu nchi huru ya Libya..Obama i ni muuaji mbaya sana sana..yeye na sakozy na mla rushwa Cameroun wanatakiwa kukamatwa
Sera zake za Mambo ya Nje hazikufanikiwa ata Syria pia wamekosea sana lakini Busara za Putin angalau Mwanga unaonekana.