Nyumba zinapangishwa mbezi

02042012350.jpg

kwenye corridor kwa ndani, as perfect as it is!!! KARIBUNI haina dalali
 
View attachment 47344 View attachment 47345 View attachment 47346

maelezo: Iko ndani ya fensi, ina vyumba viwili, sebule, jiko la ndani na choo cha ndani.ina sakafu ya tiles,
madirisha ya aluminium. Kuna tenki kubwa la maji ndani la lita 10,000, maji si tatizo. Usalama ni
mkubwa, iko pahali tulivu kabisa.parking ipo na kubwa. Ni mpya.

Mahali : Mbezi makabe kwa mzungu, unashukia mbezi mwisho na kuingia ndani kiasi.

Piga simu na. +255 653 777 655, +255 652 752 032 , +255 762 986 611

imebaki moja wadau wenye nia ya dhati. You wont regret having it!!!
Karibuni
 
View attachment 47344 View attachment 47345 View attachment 47346

maelezo: Iko ndani ya fensi, ina vyumba viwili, sebule, jiko la ndani na choo cha ndani.ina sakafu ya tiles, madirisha ya aluminium. Kuna tenki kubwa la maji ndani la lita 10,000, maji si tatizo. Usalama ni mkubwa, iko pahali tulivu kabisa.parking ipo na kubwa. Ni mpya.

Mahali : Mbezi makabe kwa mzungu, unashukia mbezi mwisho na kuingia ndani kiasi.

Piga simu na. +255 653 777 655, +255 652 752 032 , +255 762 986 611

nyumba bado ipo, Tshs 200,000 kwa mwezi.bado ipo
 
Ndani safi, nje dah!...vumbi tupu! Tuwe tunaweka mazingira yenye kuvutia basi wakuu ili kuongeza thamani ya nyumba na mazingira bora ya kuishi....au MAJI UTATA!!!

Ndo Makabe palivyo kaka.
Tehe tehe tehe tehe
 
Back
Top Bottom