Nyumba ya kupangisha USA Arusha

Mnyika

Member
Mar 16, 2009
9
0
Kuna nyumba nzuri sana ya kupangisha Arusha USA river karibu na kituo cha Police USA river. Nyumba Ina vyumba 3 na sebule.Kimoja ni master bedroom. Ina vifaa vya ndani vipya kabisa hajawahi kupanga mtu ndio mpya.Kodi kwa mwezi USD 650 maongezi yapo tena mazuri sana na dalali hatakiwi piga 0752 488588 au 0784545404.Nyumba inafaa pia kwa watalii wanaokuja kwa vipindi vifupi vifupi ina fensi na huduma nyingine kama umeme,maji n.k
 
Back
Top Bottom