Ni nyumba nzuri, ina vyumba 4 vya kulala , sebule, sehemu ya chakula na choo. pia pembeni yake kuna nyumba yenye vyumba 3,nyumba ina kisima cha maji, umeme, na imezungushiwa ukuta ndani unaweza paki gari 2 mapaka 3 inategemeana na ukubwa wa hayo magari. nyumba ipo karibu kabisa na barabara ya rami iendayo mbande.
kwa anayehitaji nyumba hiyo pamoja na zingine nyingi zilizopo katika eneo hilo tuwasiliane( Havilla Real Estate Agent 0755 099 291, 0686 200 117, 0657 14 55 55, Thomas) bei Tsh, 42,000,000.
kwa anayehitaji nyumba hiyo pamoja na zingine nyingi zilizopo katika eneo hilo tuwasiliane( Havilla Real Estate Agent 0755 099 291, 0686 200 117, 0657 14 55 55, Thomas) bei Tsh, 42,000,000.