Nyumba nzuri inauzwa bei nzuri

Tangia nianze kusoma matangazo ya nyumba na viwanja ndo naona bei ya chini sana, please mwandishi rudi tena ukajisahihishe maana haiwezekani ikawa bei Tsh, 42,000,000 labda kama umesahau ukaweka Tsh badala ya USD


Wewe ni mpuuzi, bei ya chini si ukalipie uchukue house??? kimsingi unataka kumharibia wanunuzi harafu akose mwana na maji ya moto
 
hata kwa mtu anayetaka kuwekeza hii nyumba itamfaa unaweza nunua bei inashuka mpaka 39m , ukaikarabati then ukaiuza, ipo eneo nzuri na mtaa kuna nyumba nyingi za kisasa sana. siku ya mwisho kuiuza hii nyumba ni tarehe 30/06 /12 karibuni
 
Nyumba bado inauzwa . kwa Tsh 42m . unapata nyumba 2 katika eneo moja kubwa ina vyumba vya kulala 4 , sehemu ya chakula na sebure pamoja na choo. ndani chini imepigwa cement na juu ni bodi ya kawaida pembeni kuna vyumba 3 kwenye hiyo nyumba inayoonekana. ipo karibu kabisa na barabara ya lami , umeme upo. bei inazungumzika unaweza punguziwa 1m. karibuni . 0657 14 5555
 
Enzi zetu kuna wimbo ulikuwa unaitwa 'Ogopa Tapeli'.Hawa ni matapeli nyumba inauzwa unashindwa kutoa picha za hata ndani ya geti?
 
Enzi zetu kuna wimbo ulikuwa unaitwa 'Ogopa Tapeli'.Hawa ni matapeli nyumba inauzwa unashindwa kutoa picha za hata ndani ya geti?
*we masaburi nini, unatapeliwaje sasa hizi nyumba ndani zina wapangaji, hivyo hatuwezi piga picha thamani zao. mbona wengi wamekuja na wameona wengine wameshindwa dau lao dogo. sasa utapeli uko yaani senior wa JF unaongea utumbo *kiasi hizo.*
 
Nyumba bado iko sokoni wajameni, karibuni tuzungumze 0657 14 5 5 5 5
 
Barabara ya RAMI IENDAYO MBANDE....!!!!! huko si karibu na Rufiji... unajipangia tu bei.....hivi mnajua hata kuestimate bei ya kuuzia nyumba...!!?? Huko porini unauza bei hiyo...???



Ni nyumba nzuri, ina vyumba 4 vya kulala , sebule, sehemu ya chakula na choo. pia pembeni yake kuna nyumba yenye vyumba 3,nyumba ina kisima cha maji, umeme, na imezungushiwa ukuta ndani unaweza paki gari 2 mapaka 3 inategemeana na ukubwa wa hayo magari. nyumba ipo karibu kabisa na barabara ya rami iendayo mbande. View attachment 55591 View attachment 55592

View attachment 55593
kwa anayehitaji nyumba hiyo pamoja na zingine nyingi zilizopo katika eneo hilo tuwasiliane( Havilla Real Estate Agent 0755 099 291, 0686 200 117, 0657 14 55 55, Thomas) bei Tsh, 42,000,000.
 
Barabara ya RAMI IENDAYO MBANDE....!!!!! huko si karibu na Rufiji... unajipangia tu bei.....hivi mnajua hata kuestimate bei ya kuuzia nyumba...!!?? Huko porini unauza bei hiyo...???

Acha ujinga wewe! rufiji unakujua au unaota? hakuna poli la anina yoyote nyumba iko chamazi kabla hata ya kufika uwanja wa Azam Fc. na isitoshe maeneo yote haya yamejengwa na viwanja vimepimwa umeme maji yapo. umeona wapi poli lenye umeme na maji. kutoka mbagara rangi 3 mpaka chamazi nauli ni sh 300. na eneo hili ndilo ambalo Prof. tibaijuka ametenga kama heka 2 na kajenga nyumba nyingi za kuwasaidia wa Tz wenye kipato cha chini na nyumba moja ni 4m. hakuna poli huko we mwehu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom