Nyumba nzuri inauzwa bei nzuri

Akiri

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
1,445
212
Ni nyumba nzuri, ina vyumba 4 vya kulala , sebule, sehemu ya chakula na choo. pia pembeni yake kuna nyumba yenye vyumba 3,nyumba ina kisima cha maji, umeme, na imezungushiwa ukuta ndani unaweza paki gari 2 mapaka 3 inategemeana na ukubwa wa hayo magari. nyumba ipo karibu kabisa na barabara ya rami iendayo mbande. DSC06139.JPG DSC06138.JPG

DSC06140.JPG
kwa anayehitaji nyumba hiyo pamoja na zingine nyingi zilizopo katika eneo hilo tuwasiliane( Havilla Real Estate Agent 0755 099 291, 0686 200 117, 0657 14 55 55, Thomas) bei Tsh, 42,000,000.
 
Ni shi'ngapi mkuu?? Jamani mbona hizi basic mwazikosea kila wakati....
 
Mbande ni wapi mkuu? Unaweza kutuonyesha na picha za huko ndani kulivyo? Plan yake?
 
Tuambie mkuu huko Mbande ndio kijiji gani,mbona mnatupa shida jamani weka na viji nyama kidogo ueleweke.
 
Tangia nianze kusoma matangazo ya nyumba na viwanja ndo naona bei ya chini sana, please mwandishi rudi tena ukajisahihishe maana haiwezekani ikawa bei Tsh, 42,000,000 labda kama umesahau ukaweka Tsh badala ya USD
 
Hiyo bei naona ni sawa tu ukilinganisha na eneo lenyewe. Kwanza ni ghali ilitakiwa walau Tsh 25,000,000/-
 
Hiyo bei naona ni sawa tu ukilinganisha na eneo lenyewe. Kwanza ni ghali ilitakiwa walau Tsh 25,000,000/-

Acha dharau ndugu yangu we kwani unaishi wapi? sio lazima kuchangia kila mada , mbona wengine wanapita kimya.
 
Tuambie mkuu huko Mbande ndio kijiji gani,mbona mnatupa shida jamani weka na viji nyama kidogo ueleweke.

Samahani kwa usumbufu nyumba ipo mbagala chamanzi pembeni mwa barabara inayoinda mbande au uwanja wa Azam.
 
Tuambie mkuu huko Mbande ndio kijiji gani,mbona mnatupa shida jamani weka na viji nyama kidogo ueleweke.
Samahani mkuu, nyumba ipo wilaya ya Temeke, mbagala chamanzi. eneo ni nzuri na lina nyumba nyingi na tayari watu wa savey wamepita .
 
kwa kweli nyumba nimeipenda ingawa sijaiona ndani na bei nimeridhika.ningekuwa na majihela ya chap chap,ningeichangamkia
 
Mkuu weka picha za ndani tuone. Ina Tiles, Gpysum n.k, kifupi nataka kujua kama finishing zote zimefanyika na kwa kiwango gani.
Usisahau kuweka picha ya vitu kama toilet, jiko na eneo la ndani ya fensi.
Tafadhali weka vitu hadharani, biashara matangazo.
 
mnh mbona tumeonyeshwa nje tu tena ya geti,humo ndani kuna nini au haivutii kama nje?lol
 
Tarehe 30 /06/2012 ndiyo siku ya mwisho kuuza nyumba hii, kama mtu anaihitaji ahakikishe anaipata kabla ya tarehe hiyo ikifika tarehe hiyo mwenye nyumba atabadili mawazo ya kuiuza. nashukuru kwa wadau waliopiga cm na wengine nimewapeleka wameona na wengi wameahidi kuja kuilipia kabla ya tarehe hiyo . fanyani hima wakuu.
 
nyumba bado iko sokoni japo kuna watu 2 walikuwa tayari kulipia lakini wakapishana kiswahili na mwenye nyumba na wote wakasusa mnunuzi kasusa na mwenye nyumba kasusa kumuuzia mnunuzi huyu. bado kuna siku kumi kwa anayetaka kununua nyumba hii,. ipo sehemu nzuri sana sio mbali kutoka bara barani tuwasiliane kwa mnunuzi anayeitaka 0657 14 5555
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom