Nyumba ndogo raha bana - wanaume tu

Hahahaaaaaaaaaa! Bosi pengine umesahau kwamba ukimfundisha mtu kuua, ni ngumu kudhibiti namna ya kuua. Wapo watakaotumia msumeno kuua, wapo watakaotumia kisu, wapo watakaotumia minyororo, wapo watakaoua kwa kufumua utumbo wa mtu n.k. Kifupi dhambi ukisha ianzisha, itaendelea kutokea kwa namna mbalimbali.

mtoto ukimfundisha wizi, huwezi kumdhibiti kiasi na aina ya mali ya kuiba mkuu.

well sikujua kuwa nawa address watoto......
ningejua nisinge post....
 
wenye akili za panzi huishia kudesa live kila linaloongelewa humu ndani
 
mkuu wala usipate presha, there many other educative posts zako wengi tumejifunza. After all we need fun and entertainment, this is not a place for sorrows and tears!
 
wapo wanaume na tena ni wanaume kamili hawafagilii nyumba ndogo
no matter what......
watu hufanya choices regardless nani kasema its wrong or right
do i have that big influence..???????
what you did ni kuwaambia wale wanao fagilia kwamba sio kosa kubwa, they can do it, ila wakumbuke kua makini. Sijui how big is your influence ila watu waliochangia ni wengi na sababu kuna ambao walisapot point yako ikaonekana kumbe ni jambo la kawaida. kwa hiyo inlfuence ni mass influence ya walio changia mada, na wewe ndie chanzo cha uchangiaji huo.
Sidhani kama kuna mwanaume ataenda kutafuta sababu kasoma hii thread ila yule aliekutwa atajiskia hana makosa sababu wanaume wengi na (in percentage) wanatolerate mambo hayo. Pia nilisikitika kuona wanawake wakishangilia...
 
take it from me
mwanaume aliekamilika hawezi kutafuta 'nyumba ndogo ' kwa sababu Boss amesema its okay hapa jf...

unless definition ya mwanaume imebadilika...

i knw Boss bt wabongo si unajua tena kuna mambo yanawa influence
may b kuna mdada anamsumbua mtaani ila kwenye thread yako hapa kuona kila mtu anasapot na vishawishi avipatavyo may b jamaa kaamua a test zali.

Inasikitisha kwa kweli wanaume dizaini hii huwa wanaishia matatizoni tu naomba Mungu aniepushe nikioa nimeoa, kama siridhiki na mmoja nitaoa wa pili. Period.

Weka thread Boss uwape tahadhari watu kama hawa watapotea mkuu.
 
Wewe huitaji kuwa na nyumba ndogo Mkuu maana hata bao zenyewe huna, sasa nyumba ndogo yanini sasa? kwa bao moja au mbili!
 
itakuwa very sad....watu waamue ku halalisha mambo ambayo zamani hawakuweza
sababu ya post humu...but all in all nilipotumia mifano ya sigara na pombe

unategemea mtu angeelewa kama mtu mzima

nimewahi sikia wana sayansi wakisema its better kunywa bia japo kidogo
but siku ongoza direct bar na kuanza kuagiza
 
nyumba ndogo ya nini wakati umeacha kubwa yenye hewa na amani tele?kaa na ujinga wako
 
Wakubwa kwema?
Jamani mwenzenu nimepata kanyumba ndogo kapya yani maisha raha kweli kweli.
Shida kanasema lazima nikapige bao zisizopungua tatu na mimi kweli siwezi nimezoea kabao kamoja v2 na mama.

Je nifanyaje? Nikachape au nikateme?

Wakati unaanza kutongoza iuliomba ushauri JF? Ushauri unaoomba is none of JF business
 
Loo kama uwezo na urijali huna unatafuta wa nini, wenzako wanaenda coz wanapiga mengi na wake zao wameshindwa maybe sasa uwezo wako kamoja si ukamalizie kwa mkeo, maana ukikapeleka huko nje na home itakuwaje sasa
 
wapo wanaume na tena ni wanaume kamili hawafagilii nyumba ndogo
no matter what......
watu hufanya choices regardless nani kasema its wrong or right
do i have that big influence..???????

na hapo umenena mkuu,....
 
si vyema kufanya hayo ridhika na mkeo ndugu,small house ni matatizo tu...kaa ndani utulie acha waruwaru!
Wakubwa kwema?
Jamani mwenzenu nimepata kanyumba ndogo kapya yani maisha raha kweli kweli.
Shida kanasema lazima nikapige bao zisizopungua tatu na mimi kweli siwezi nimezoea kabao kamoja v2 na mama.

Je nifanyaje? Nikachape au nikateme?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom