Nyumba mpya inauzwa

mseseve

JF-Expert Member
Apr 3, 2011
511
89
IPO KARIBU NA KIJITO NYAMA KITUO CHA POLISI.........NI NYUMBA YA KISASA KABISA NI NYUMBA YA TATU TOKA BARABARA YA LAMI IENDAYO SAYANSI K NYAMA
CONTACTS
0714812375
0784562131
email: joseengowi@gmail.com
 
Kwahiyo hapo ndiyo umemaliza kuitangaza hiyo nyumba!na kama sijakosea hapo juu nimeona kama vile you are a senior member!sawa kaka subiri wenye kujua kukuelekeza nini cha kufanya waingie maana wengine maneno yao yana maudhi mpaka utajutia kwanini hukutia nyama za kutosha kwenye tangazo lako.
 
Toa picha za nyumba kwa kona zote, pia ndani, urefu na upana wa kiwanja kisha weka bei hewani. Harafu ndo utuwekee namba za siku zako; why should i call you for something that i wont afford, think again.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom