INAUZWA Nyumba kuukuu inazwa Mbagala kwa Mangaya

Abuu Joha

Member
Jan 21, 2023
8
0
Nyumba ni ya zamani sana ina vyumba vinne, Ina eneo lisilo pungua 500sqm. Ni nyumba ya familia.

Kwa mawasiliano: 0743244734

IMG-20230624-WA0014.jpg
 
Imepimwa?
Je ni ya urithi?
Inafikika kwa Gari?
Bei?
Weka wazi hivyo vitu
 
Huko ndiko alikokuwa anaishi yule mtafsiri movie Derrick Mkandala aka Lufufu Mwambeija kanyampalile
 
mazingira yapo hivyo ndugu siwezi sema uongo, ukihisi utakuwa comfortable na hayo mazingira karibu sana tufanye biashara.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom