Nyumba kubwa zaidi duniani iliyojengwa kwa karata

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,322
33,126
<table border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="100%"><tbody><tr><td align="left"><table bgcolor="#dddddd" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" height="23" width="100%"><tbody><tr><td width="10">
</td> <td width="606">
</td> <td align="right" width="139">
</td> <td align="right" width="12">
</td> </tr> </tbody></table></td> </tr> <tr> <td bgcolor="#999999">
pix.gif
</td> </tr> <tr> <td class="shortnews" align="left" bgcolor="#ffffff" valign="top">
<!--ThumbBegin--> <!--ThumbEnd-->
Bryan akipokea tuzo ya Guinness.​

Bryan Berg (aliyezaliwa mwaka 1975) ni mtaalam wa kupanga karata (cardstacker) ambaye alizaliwa huko Iowa, Marekani. Jamaa huyo anaishi na mkewe huko Santa Fe, New Mexico, ambapo huwa anajenga majengo kwa kutumia karata. Berg alivunja rekodi yake kwa kujenga mfano wa hoteli ya Venetian Macau ambapo alitumia muda wa siku 44 na karata 218,792 kuijenga, ikiwa na sakafu 4,000. Jengo hilo lilikuwa na urefu wa chini wa mita 10.5 ambazo ni futi 34, urefu wa kwenda juu wa mita tatu (futi 10) na lilikuwa na uzito wa kilo 272 ambazo ni sawa na paundi 600.

Zifuatazo ni picha zinazomuonyesha Bryan Berg akiwa katika jengo hilo alilolijenga kwa kutumia karata:
<!--ThumbBegin--> <!--ThumbEnd-->

<!--ThumbBegin--> <!--ThumbEnd-->

<!--ThumbBegin--> <!--ThumbEnd-->

</td> </tr> <tr> <td align="right" bgcolor="#f9f9f9" valign="top"><table border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="100%"> <tbody><tr> <td class="news1" align="left" width="38%">
</td> <td class="news1" align="left" width="62%">
</td></tr></tbody></table></td></tr></tbody></table>
 
Duh!!!...this man has a lot of time on his hands for such a feat.
Hata hivyo hongera kwake.
 
Back
Top Bottom