kakuruvi JF-Expert Member Sep 2, 2009 770 256 Aug 3, 2011 #1 3 BEDROOMS 2BATHROOM KITCHEN LOUNGE MASSIVE YARD · 15 M X 8 M MODERN SWIMMING POOL(secured) Attachments house for rent.jpg 55.7 KB · Views: 300
KakaKiiza JF-Expert Member Feb 16, 2010 11,578 8,600 Aug 3, 2011 #2 Nimependa swiming pool the way ilivyo treated very greensh the care inviroment!
BARA BARA YA 5 JF-Expert Member Sep 11, 2009 1,127 734 Aug 3, 2011 #3 Mbona car parking hakuna,mimi nimeipenda kama ataniwekea!!!!
vivian JF-Expert Member Nov 2, 2009 1,749 1,000 Aug 3, 2011 #7 Halafu hii serikali yetu kituko! wameshindwa hata kuweka vifusi kwenye hiyo njia ya kwa mtogole, wanataka ifanane na hizi nyumba. Sijui ni kwanini waliweka matuta kwenye hii njia wakati yale mashimo ni matuta Tosha kabisa.
Halafu hii serikali yetu kituko! wameshindwa hata kuweka vifusi kwenye hiyo njia ya kwa mtogole, wanataka ifanane na hizi nyumba. Sijui ni kwanini waliweka matuta kwenye hii njia wakati yale mashimo ni matuta Tosha kabisa.
T tshaka Member Apr 16, 2010 55 6 Aug 3, 2011 #9 Mia tano kwa mwezi pamoja na umeme na maji unatakiwa kulipa miezi mitatu mitatu tu! ipo osterbay ghuba.
Mia tano kwa mwezi pamoja na umeme na maji unatakiwa kulipa miezi mitatu mitatu tu! ipo osterbay ghuba.
P PhD JF-Expert Member Jul 15, 2009 4,599 3,673 Aug 3, 2011 #10 vivian said: Hapa sio njia ya Mtogole kweli? Click to expand... vivian mbona haujanitafuta?
1 1954 JF-Expert Member Nov 14, 2006 11,185 13,529 Aug 3, 2011 #11 Duh, wajameni, kejeli hii nimeipenda.
Maria Roza JF-Expert Member Apr 1, 2009 6,797 1,567 Aug 3, 2011 #12 nimeipenda kweli kweli tuwasiliane aisee
Emanuel Makofia JF-Expert Member Jan 5, 2010 3,832 630 Aug 3, 2011 #13 kakuruvi said: 3 BEDROOMS 2BATHROOM KITCHEN LOUNGE MASSIVE YARD · 15 M X 8 M MODERN SWIMMING POOL(secured) Click to expand... mALARIA NO MORE IN TANZANIA teeeh teeeh eheehheee!!!
kakuruvi said: 3 BEDROOMS 2BATHROOM KITCHEN LOUNGE MASSIVE YARD · 15 M X 8 M MODERN SWIMMING POOL(secured) Click to expand... mALARIA NO MORE IN TANZANIA teeeh teeeh eheehheee!!!