Kwa vipimo hivi nyumba hii itafaa kweli? Naomba ushauri wenu mafundi na wajenzi wakongwe!

Shamkware

JF-Expert Member
Nov 25, 2013
1,740
2,243
Nina kiwanja changu pahala off course ni kidogo (50 x 47 Futi) sasa nilitaka kuweka ujenzi pale! Nimemtuma fundi kufanya setting ya msingi na vipimo vya vyumba kulingana na nilivyotaka majibu yakawa hivi:-

VIPIMO VYA VYUMBA
1: Sebule -ft 12x16
2: Master - ft 12 x 10
3: Room 1 -ft 9 x 10
4: Room 2 - ft 9x10
5: Dining- ft 9x7
6: Kitchen - ft 10 x 8
7: Toilets master ft 5x8
8: Public Toilet ft 4x 6

Nyumba ya ni Roo 3 ( 1 master, Dining, Kitchen na Public Toilet)
Naomba kujua kwa vipimo hivi kweli vinatosha kuwa nyuma ama nitatoa mabanda niachane nacho wakuu!
 
So kiwanja chako nikama (15 x 14)m²ivii....hehehee wacha waje mafundi lakin hapa hata kufugia kuku hakitoshi
 
Sijui kama huyo fundi amekupa ramani ya room alocation namna zilivyokaa ila nachokiona una kiwanja kikubwa ila space planning haijawa considered
Ntakuwekea standard mesurement ya meter
15x 14 ni Sqm nyingi sana chief
Sebule sqm 20
rooms mbili sqm 21 ( room iwe pana hulali kwny banda ya nini uminye room fnya 3.5x 3 each)
master sqm 12
dinning sqm 7.5
Kitchen sqm 10
store sqm 3
master toilet 4.32
Public toilet 3.78
corridor sqm 8
Total 89 sqm
hapo kwny uwanja wa sqm 210 unabaki karibu na 121 sqm
( Note jenga nyumba upate space ya kutosha hasa sehemu ambapo watu hukaa mda wote kunapokuwa na sehemu ya kutosha air cuculation inakuwepo mfano rooms, living room na master suite)
 
Back
Top Bottom