House4Sale Nyumba ghorofa moja inauzwa (Goba kwa Ulomi)

Jun 11, 2011
80
42
NYUMBA INAUZWA
Location: Goba kwa Uromi
Ownership: Full documents
Plot capacity: 950 sq/m
No. of Room: 5 self contained rooms
---Store
---Jiko
--- Parking
--- Two seating room
--- 1 office
NYUMBA NI NZURI, HAINA KASORO
Bei ya makadirio ni 470m kwa mazungumzo na kukagua tafadhali wasiliana nasi kupitia mawasiliano yafuatayo:
a)) +255784379396 & +255767309797 -- calls, sms and watsaap
b)) Email: leonapolinary@gmail.com

IMG-20231101-WA0013.jpg
IMG-20231101-WA0012.jpg

IMG-20231101-WA0011.jpg
IMG-20231101-WA0007.jpg
IMG-20231101-WA0008.jpg
IMG-20231101-WA0001.jpg
IMG-20231101-WA0000.jpg
IMG-20231101-WA0005.jpg
IMG-20231101-WA0006.jpg
IMG-20231101-WA0013.jpg
 
Kikwetu kabla ya kununua nyumba sharti ulale humo...kama hakuna maruwe ruwe na uzingizi wa mang'amung'amu au uzingizi kupaa and popobawaz .....tunamalizana fresh....vinginevyo turuhusu tuje piga maombi ya mkesha.
Sio lazima ulale
Km upo sensitive in spirit, ukikanyaga tu kwenye ardhi unapata taarifa ,kunani hapo😁
 
Kikwetu kabla ya kununua nyumba sharti ulale humo...kama hakuna maruwe ruwe na uzingizi wa mang'amung'amu au uzingizi kupaa and popobawaz .....tunamalizana fresh....vinginevyo turuhusu tuje piga maombi ya mkesha.
Mkuu siyo kikwenu tu,hata watu weupe hulala kwanza kwenye nyumba mpya kabla hajailipia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom