Nyololo: Kabla na baada ya kuuawa Mwangosi

Hata kama ile tume ya Nchimbi haina nguvu kisheria hata haya maneno yako yatawasaidia sana kwani kwenye ile picha ya canter ambapo DM alikuwa anachukua picha ndani kulikuwa na spika kuonyesha palikuwa na Muziki kam ulivyosema. Wasidie ili waujue ukweli.
 
Hilo swali ka-liachie TUME HURU YA UCHUNGUZI lijekawaulize wanakijiji kwani yote yatawekwa mezani na wala usitangulize U-Mwera wako katika kufanya hahojiano nje ya wakati na chombo stahiki.

je wewe uliwasikia polis wakisema lazima waondoke na maiti 4 au unaweka umbea wako tu hapa jukwaani?
 
Nkisumuno kweli wewe ni Kimeo na taahira hebu acha upumbavu wako hapa. Polisi waamue kuwa na maiti nne za nini. Hao jamaa walikuwa na kikao cha ndani kwenye kiofic kidogo wakati wao walikuwa kundi, hivi vikao vya ndani ni pamoja na speakers na shamra shamra? Acheni ujinga bwana

Kwani Skeaker si kwajili ya nyimbo zetu za chadema kwani tukipiga muziki wakati wa kuzindua tawi letu kusherehekea kwani kuna ugomvi wowote hapo!
 
Nkisumuno kweli wewe ni Kimeo na taahira hebu acha upumbavu wako hapa. Polisi waamue kuwa na maiti nne za nini. Hao jamaa walikuwa na kikao cha ndani kwenye kiofic kidogo wakati wao walikuwa kundi, hivi vikao vya ndani ni pamoja na speakers na shamra shamra? Acheni ujinga bwana
Nahisi harufu ya ban hapa ngoja niondoke, lakini ngoja nikuulize swali Maiti ya Mwangosi ilikuwa ya nini?
 
Haina haja ya kuumiza vichwa bandugu. Iissue yenyewe ni kwamba polisi walikuwa wakitekeleza amri kutoka kwa uongozi wa juu wa sisiemu. Kulikuwa na mkakati wa kuua watu ikiwa ni pamoja na kuwajumuisha na baadhi ya polisi wasiojua siri. Lengo ni kuhusisha mauaji hayo na chadema kwamba mfuasi wa chadema kavaa bomu na kujitoa muhanga kwa kuua polisi. Halafu Tendwa angejitokeza na kusema kuwa chedema kimepoteza uhalali wa kuwa chama cha kisiasa na hivyo kutangaza kukifuta. Tangazo hilo la kukifuta lingeenda sambamba na tangazo la polisi la kupiga marufuku mikusanyiko yote ya kisiasa mpaka hapo itakapotangazwa vinginevyo. Kwa mujibu wa mtoaji wa siri hii iliyopangwa na waandamizi wa sisiemu kisiri, mikutano ya kisiasa ingelikuja kuruhusiwa mwaka 2014 baada ya bunge la budget kwa ajili ya kampeni za uchaguzi huku chadema kikiwa hakipo.
Kwa kweli kilichozuia mkakati huu usifanikiwe kwa mujibu wa mtonyaji ni Mungu mwenyewe ambae kwa siku za karibuni amejidhihirisha akiwakwamisha viongozi waovu ndani ya serikali ya sisiemu katika utekelezaji wa mipango yao miovu. Kwa mujibu wa mtonyaji ni mengi mauvu waliisha panga lakini yamewaathiri wao kuliko waliyemkusudia. Mtoa habari alinimalizia kwa kusema, hukuona ya Arumeru?, Ulimboka? Sms za kichina? Na sasa Mwangosi? Na bado akaendelea kudai yapo mengi ila anahisi huenda wakabadili mbinu ya kuwakilisha na wawakilishaji maana tathmini ya madhara ya yaliyotangulia yamekiathiri sisiemu na kukifanya kichukiwe kuliko wakati mwingine wowote. Hili nimekuwa mwiba mchungu kwao maana ni kinyume na matarajio yao. Hebu tusubiri picha litakalofuata baada ya hii ya Mwangosi.
.

Ndio maana yule RPC alikuwa na majibu ya kukariri "marehemu alikuwa anakimbilia kwao kujisalimisha" pamoja na kwamba haikuwa hivyo!
 
Nkisumuno kweli wewe ni Kimeo na taahira hebu acha upumbavu wako hapa. Polisi waamue kuwa na maiti nne za nini. Hao jamaa walikuwa na kikao cha ndani kwenye kiofic kidogo wakati wao walikuwa kundi, hivi vikao vya ndani ni pamoja na speakers na shamra shamra? Acheni ujinga bwana

Joste nadhani hujawahi kukumbana na DHAHAMA ya Polisi. Usiombe. Sishangai hiyo kauli ya kuondoka na maiti nne! Wakiamrishwa kuua mtu mmoja wanaongeza wengine watatu! Jiulize, kwa wastani, askari wetu wa polisi wana elimu ya kiwango gani, wengi wao? Usiongelee kizazi kipya cha vijana, ambao wengi wao ni Form VI. Wanaofanya hayo mauaji ni wale wa 47, if you know what I mean?
 
wale police wa 3 ambao walikuwa hawajui ile siri ya mauaji uenda nao walitaka kuuwawa ili ijulikane kama bomu limerushwa na kuua polc 3 na mwandishi wa habari 1.Lolote lawezekana kwa hawa ccm.Kwa move hizi ata police wenyewe hawatakuwa salama.HAMKENI USINGIZINI
 
Nkisumuno kweli wewe ni Kimeo na taahira hebu acha upumbavu wako hapa. Polisi waamue kuwa na maiti nne za nini. Hao jamaa walikuwa na kikao cha ndani kwenye kiofic kidogo wakati wao walikuwa kundi, hivi vikao vya ndani ni pamoja na speakers na shamra shamra? Acheni ujinga bwana

Uliona ule mkutano wa uzinduzi wa kampeni za uchaguzi kule Zanzibar tarehe hiyo hiyo ambayo ndugu yetu aliuwawa ? halafu tuweni kweli GT, vikao vya ndani au vya nje, Mwangosi alikosa nini ? aliitisha hivyo vikao ? eti Speakers, eti shamra shamra ? zilikuwa ni shamra shamra zilizoandaliwa na Mwangosi ? Tunapochambua jambo lolote ni lazima tuwe objective. Issue hapa ni swala la Police kuua raia kwa sababu yoyote ile ! iwe ni stendi, kwenye mkutano, wakati wa sensa, wakati wa uchaguzi, KWANINI POLICE WAUE RAIA ? Kama ni mwalifu, tunaona kulikuwa na Police nane hivi, kwanini wasimkamate na kumpeleka katika vyombo vya sheria ? Tusijadili kwa ushabiki ndugu zangu, Please.
 
Nkisumuno kweli wewe ni Kimeo na taahira hebu acha upumbavu wako hapa. Polisi waamue kuwa na maiti nne za nini. Hao jamaa walikuwa na kikao cha ndani kwenye kiofic kidogo wakati wao walikuwa kundi, hivi vikao vya ndani ni pamoja na speakers na shamra shamra? Acheni ujinga bwana
. Akili yako hata taahira anakuzidi, sijui tukuiteje. Nkisumuno kaeleza vizuri sana tena kwa ufasaha utadhani mpelelezi au mwandishi makini wa habari, wewe unamtukana? MAMODI MNAPASWA KUMLIMA BAN HUYU JOSTE anaingilia uhuru wa taarifa wanazotoa wenzake. Nadhani ni polisi huyu na huenda alikuwapo na magwanda kumuua Mwangosi pale, anataka sympathy ambayo haipati ila laana irudiyo kutoka kwa Mwangosi. Unauliza watu wanne wa nini, kwani kakuambia alijadiliana nao hata wamwambie sababu akueleze wewe? Kwa kuwa hujui kusoma unarukaruka kutafuta neno unalotaka kusikia, amesema hawakujua wanapozungumza wanasikika na watu. Haya, unajuaje kama mtoa taarifa alikuwamo nyumba jirani kusikia? Heri kama wangerekodi uumbuke na wauaji wenzio. Kwani lakini wao watadumu milele? Watakufa tu, tena kifo kibaya zaidi. Wamemrahisishia Mwangosi kuondoka bila maumivu ya muda mrefu, wao laana zitawazuia kufa haraka mpaka wakione cha moto. Pole Nkisumuno. Toa habari baba usisikie wehu hao wapo wengi.
 
Nkisumuno kweli wewe ni Kimeo na taahira hebu acha upumbavu wako hapa. Polisi waamue kuwa na maiti nne za nini. Hao jamaa walikuwa na kikao cha ndani kwenye kiofic kidogo wakati wao walikuwa kundi, hivi vikao vya ndani ni pamoja na speakers na shamra shamra? Acheni ujinga bwana
Mkubwa mie kwa uelewa wangu nadhani kikao cha ndani haina maana lazima kifanyike ndani ya jengo....ila huwa kinahudhuriwa na wajumbe maalum... na si kila mtu anakaribishwa... labda tofauti nyingine kikao cha ndani wajumbe wote hupewa posho......
 
Kiukweli tuzidi kuwaombea Mungu viongozi wa Chadema na timu nzima ya mipango mkakati waweze kumakinika tunawaomba msifunjike moyo wala kuruhusu kununuliwa ninachoamini nikwamba tumeshaikaribia sana saa ya ukombozi situu kwa mtazamo wa mwenendo wa siasa za ndani bali kwa muundo mzima wa kukabidhiana mamlaka CCM hakuna mwenyeuwezo wakupokea kijiti kutoka kwa mwenyekiti wao na kwa hatari zaidi hata mwenyekiti wao anaombea bora hata game liishe haraka akapumzike huko kwake Misonga Chalinze .Naomna niwahakikishie na wala hahitaji akili kubwa kujua kua Mwenyekiti amepoteza mvuto kitaifa na kimataifa plus vile chama kilivyojichimbia shimo kiroho safi labda niseme tu kwa taadhari hapa tulipo sio salama tujiimarishe kiinterejesia kwa maana ya kila mwanachama accte kutoa au kupeana taarifa pale tunapohisi hatari mbeleyetu hawa wajunba sio watu wazuri na inaonyesha wapo tayari kwa lolote hata kutupulizia hewa za sumu ilimradi wayatetee matumbo na family zao....
 
Nkisumuno kweli wewe ni Kimeo na taahira hebu acha upumbavu wako hapa. Polisi waamue kuwa na maiti nne za nini. Hao jamaa walikuwa na kikao cha ndani kwenye kiofic kidogo wakati wao walikuwa kundi, hivi vikao vya ndani ni pamoja na speakers na shamra shamra? Acheni ujinga bwana

Acha ujinga bwana
 
Walipania kumwua ama kumdhuru vibaya Dr Slaa,ama mmeshasahau ule mpango wa wasomali?Si wamdekuwa wakifuatiliwa na magari wasiyoyajuwa?walitaka tu kutengeneza mazingira kwamba mauwaji ya Slaa(kama wangefanikiwa)kuwa ni ya bahati mbaya na kwamba hayakupangwa.
 
Kuna msemo usemao hivi; mbea hasemi uongo japo hajatumwa! So kama huyu ni mbea basi ujue anachosema ni ukweli mtupu japo hajatumwa, hapo vipi?
je wewe uliwasikia polis wakisema lazima waondoke na maiti 4 au unaweka umbea wako tu hapa jukwaani?
 
Back
Top Bottom