Nyimbo za UKAWA&CHADEMA kwenye Arusi

Wakuligo

JF-Expert Member
Aug 8, 2013
259
105
Ni juzi tuu nimeona kamati ya arusi ikimzawadia bwana na bibi arusi pamoja na mambo mengine kadi a uanachama wa chadema, na sasa nyimbo za chama hiki zinapigwa kwa kasi kwenye sherehe kama sehem ya kuwaburudisha waalikwa na maharusi pia. Zikipigwa, watu hufurahia welikweli...! Nauliza hivi, jambo hili ni sawaa??? Cjawahi kusikia za CCM, ila nashauri kama jambo hili ni sawa basi kale ka wimbo ka mbele kwa mbele nako kapigwe ili kubalance mdundo!
 
huo wimbo unaoutaka watapiga harusi ya nani? Labda kama nape anafunga ndoa.
 
Mbele kwa Mbele utapigwa tu kwa wale maharusi WAZEE kuanzia miaka 50+ maana ndio wa-CCM. Kwa vijana CCM is out fashion kama hujui!
 
Ni juzi tuu nimeona kamati ya arusi ikimzawadia bwana na bibi arusi pamoja na mambo mengine kadi a uanachama wa chadema, na sasa nyimbo za chama hiki zinapigwa kwa kasi kwenye sherehe kama sehem ya kuwaburudisha waalikwa na maharusi pia. Zikipigwa, watu hufurahia welikweli...! Nauliza hivi, jambo hili ni sawaa??? Cjawahi kusikia za CCM, ila nashauri kama jambo hili ni sawa basi kale ka wimbo ka mbele kwa mbele nako kapigwe ili kubalance mdundo!

Hizo za ukawa zitaishia kupigwa kwenye Wodi za wagonjwa muhimbili
 
Back
Top Bottom