Nyimbo nyingi za bongo fleva zinahamasisha usaliti na kuachana

mr pipa

JF-Expert Member
Jul 26, 2021
2,330
4,853
Unakuta nyimbo inasema " bora niinjoi maisha mafupi matamu si simpo, kama kumpenda bora nimpende mama yangu kama kupenda nitajipenda mi mwenyewe, sasa kwa hali hiyo msinyimane tu unyumba na ndoa kuwa ngumu, kwa niaba ya wana ndoa woote tanzania kwa pamoja tukaushitaki mziki wa bongo fleva kwa kuharibu ndoa zenu
 
Kama mwenendo wa ndoa yako unategemea nyimbo za bongo fleva hustahili kuwa kwenye ndoa.
 
Back
Top Bottom