Gaijin
JF-Expert Member
- Aug 21, 2007
- 11,812
- 5,289
Hapana,
Kwa mtume wa dini isiyo na imani.Reason.
For all you know I might have been referring to Mtume Sam Harris au Christopher Hitchens.
I like Dawkins better
"The Ayatollah of atheism"
Hapana,
Kwa mtume wa dini isiyo na imani.Reason.
For all you know I might have been referring to Mtume Sam Harris au Christopher Hitchens.
Kwa hakika sitaona sawa.
Ila hizi sababu wanazotoa serikali kukataa kutoa takwimu, sijazielewa kwa sababu hiyo ya kuwa watu wachache watazitumia vibaya hawajawahi kuisema hadharani
Ninaloona ni kuwa hata tukiulizwa kuhusu dini kwenye sensa hatuwezi kupata takwimu ya uhakika kuweza kuwa credible kwenye tafiti na policy making
Watu wanaji associate na dini Fulani kwa sababu wamezaliwa humo tu lakini sio kwamba maisha yao ya kila siku yanafuata kanuni za dini zao.
Kwa maana hiyo, takwimu tutakazopata zinaweza kutufanya kuandaa sera ambazo zinapingana na uhalisia
In partnership, serikali inaweza kufanya kazi na asasi mbalimbali za kidini na kupata takwimu za uhakika zaidi.
Shughuli za maendeleo ni za kushirikiana. Lakini si kila takwimu zinazohitajika basi zipatikane kupitia sensa.
Mimi naamini zaidi kuwa serikali au mtu mwingine yeyote anaweza akapata takwimu za uhakika zaidi kupitia hizo asasi za kidini na nyumba za ibada kuliko watu binafsi ambao wewe mwenye umetoa mfano wa mijitu kama Saidi ambalo linakula hata kitimoto na Msikitini halijakanyaga miaka nenda rudi kujifanya na lenyewe liislamu wakati siyo hata kidogo.
Sasa jitu kama hilo info zake zitakuwa credible kweli?
Sasa kwa mfano kwenye sensa, hilo swali la dini litaulize madhehebu ya watu pia?
Ninaloona ni kuwa hata tukiulizwa kuhusu dini kwenye sensa hatuwezi kupata takwimu ya uhakika kuweza kuwa credible kwenye tafiti na policy making
Watu wanaji associate na dini Fulani kwa sababu wamezaliwa humo tu lakini sio kwamba maisha yao ya kila siku yanafuata kanuni za dini zao.
Kwa maana hiyo, takwimu tutakazopata zinaweza kutufanya kuandaa sera ambazo zinapingana na uhalisia
Wana JF, naomba niwaulize swali. Hivi hatuwezi kupata data kuwa tuna waislamu wangapi, walutheri na wakatoliki wangapi bila kupitia sensa? Mbona hapa Marekani kuna takwim za karibu kila kitu, kila kundi, bila kufanyiwa sensa? Can't we do that? Nina hakika Kanisa katoliki lina takwim za waumini wake nchi nzima. Je ndugu zetu hawana asasi za kidini zinazoweza kubainisha idadi ya waislamu Tanzania bila kutegemea serikali?
Ukitafuta uhakika namna hii utafuta sensa na kukataa umuhimu wa kuwa na serikali kabisaaa.
Hakuna uhakika, tunatafuta njia ya ku converge kwenye uhakika, tuna calibrate mambo kuelekea kwenye uhakika.
Uhakika is a journey, not a destination. Ukitaka kuifanya destination uijue kabla ya kuanza safari utakuwa hutoki kwako.
Takwimu za dini mbalimbali kutoka taasisi gani za kidini? Hawa hawa uamsho wanaotaka kutumia habari za kidini kwa a religious agenda kama inavyoaminika na watu wa serikali?
Kwa hiyo serikali iache kuhesabu watu kwa dini kwa sababu inaogopa mvurugano wa kidini, halafu iende kuwauliza uamsho kwamba wako wangapi nchini? Uamsho wakiiambia serikali kwamba tuko 60%, serikali itafanya nini?
I would think kwamba precisely kwa sababu uamsho ni watu wa hatari, tusiwaachie wao watuambie wako wangapi, sie ndo tuwahesabu wao.
Pamoja na matapeli wengine wooote wanaoanzisha vikanisa kama uyoga kwa kutaka misaada ya nje, ambao chances are wata inflate figures zao. Tuwahesabu kwa umakini wa juu ili tusipewe figures zitakazokuja kustaajabisha dunia kama population ya Nigeria, unaambiwa "the population is somewehere between 130 and 160 million" a whopping 30 million lay in the margin of error.
Mtu kama Said mwacheni ajiandikishe kama muislam kwa sababu after all tunajua dini kikweli ni suala la mtu na mungu wake hii ni dini kwa minajili ya demographics.
Na uamsho wakijichuza kwamba wana support ya hizo figures zinazoonyesha "waislam" wa kwenye sensa ndo watakapojua kilichomnyonyoa Mrema mbawa alipokuwa anashangiliwa na watu wengi, kumbe wapiga kura hana.
Wana JF, naomba niwaulize swali. Hivi hatuwezi kupata data kuwa tuna waislamu wangapi, walutheri na wakatoliki wangapi bila kupitia sensa? Mbona hapa Marekani kuna takwim za karibu kila kitu, kila kundi, bila kufanyiwa sensa? Can't we do that? Nina hakika Kanisa katoliki lina takwim za waumini wake nchi nzima. Je ndugu zetu hawana asasi za kidini zinazoweza kubainisha idadi ya waislamu Tanzania bila kutegemea serikali?
Haya malalamiko Boss ni bogus. Hayana foundation yoyote ile katika facts.
Kuna watu wana ajenda zao. Stuka braza kaka....
Some people want to advance their agenda and who knows what's next....it could be a demand for Sharia law in some places.

Serikali haiwezi kusema hilo hadharani, kwa sababu kusema hilo itakuwa ni "jumping the gun" na kuhukumu kabla kosa halijatendeka.
Sasa kwa kuepuka kuviolate kanuni ya "innocent until proven guilty", ndo maana wanajishaua kwa blanketi la "serikali haijengi misikiti...".
Well halooo, madhehebu ya kidini yanajenga shule na mahospitali ambazo pia zinajengwa na serikali, kwa hiyo utaona habari ya idadi ya watu inaingiliana na public policy serikali ikipenda au isipende.
Kama dini ni swali la msingi, kabila je?
BAKWATA haipo siku hizi? Evangelical Lutheran Church of Tanzania haipo?
Kwani Waislam wote ni uamsho? Misikiti yote iliyopo Tanzania imejaa wana uamsho? Binafsi sioni kabisa umuhimu hata wa kuuliza dini kwa sababu kama sisi wote ni Watanzania nadhani demographic information zinazopatikana kutoka kwenye sensa zinatosha kabisa katika kuunda public policy inayokidhi mahitaji muhimu ya watu.
Sote ni Watanzania bila kujali dini wala rangi wala mwelekeo wa kijinsia na kadhalika. Dina za watu hazihusu wengine. Kwa hiyo tusiruhusu yeyote yule atuambie yeye ana waumini wangapi. Haituhusu sisi.
Unaona sasa...ndiyo maana tusihesabu dini. Kama kanisa Full Gospel Bible Fellowship lina congregation ya watu 25,000...good for them. The bottomline is they are Tanzanians too.
Kwa nini tumuache Saidi adanganye ili kupika takwimu?
Ya nini kubishania tarakimu za idadi? Ni kwamba hakuna kuhesabu dini. Wewe na dini yako kivyako na mungu wako. Kwisha habari yake.