Kwanini Viongozi wengi wa kisiasa wanapost picha wakiwa na Hayati Magufuli lakini wanahofia kuposti hotuba zake, au zinawachoma?

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
879
4,124
Viongozi wote nilipopitia post zao kwa miaka mitatu tangu atutoke Hayati Magufuli wamejikita kutuma picha zake na siyo hotuba zake.

Hali hii ni tofauti na kumbukizi ya Nyerere na Mkapa ambapo sauti yake usikika zaidi. Kifalsafa nini chanzo cha kutopostiwa kwa hotuba zake mitandaoni kwa wingi? Marafiki zake walikuwa marafiki kweli au walitaka kuishi?
 
Viongozi wote nilipopitia post zao kwa miaka mitatu tangu atutoke JPM wamejikita kutuma picha za JPM na siyo hotuba zake.

nadhani hilo ni juu yao wao wenyewe...
 
Viongozi wote nilipopitia post zao kwa miaka mitatu tangu atutoke JPM wamejikita kutuma picha za JPM na siyo hotuba zake.

Hali hii ni tofauti na kumbukizi ya Nyerere na Mkapa ambapo sauti yake usikika zaidi. Kifalsafa nini chanzo cha kutopostiwa kwa hotuba zake mitandaoni kwa wingi? Marafiki zake walikuwa marafiki kweli au walitaka kuishi?
Bongo unafiki mwingi mtu anayeogopa kusema ukweli inamaana ameamua kuwa mnafiki
 
Back
Top Bottom