Makame
JF-Expert Member
- Jan 3, 2008
- 512
- 60
NYERERE as a leader, was like other leaders; and a human.
1. Alikuwa na mazuri yake na mafanikio yake; AIDHA
2. Alikuwa na mapungufu yake.
Mijadala mingi inayoendelea, nimeona kuna watu wanaongelea mafanikio; na kuna wengine wanaongelea mapungufu; tatizo linakuja pale kila moja katika makundi hayo mawili kuona kwamba upande wake ndio sahihi. Wengine wametoa hadi kauli zisizokuwa na michango ya kudumisha fikra za kimaendeleo.
Sasa mimi nashauri kwamba NYERERE alikuwa na mafanikio na mapungufu. Tusiyakane mapungufu yake; bali kwa kuwa ashatangulia mbele ya haki; si vizuri kumkumbuka na hayo. Tumkumbuke kwa mazuri yake.