Tume ya Katiba
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 4,896
- 1,862
Mimi naunga mkono nyerere kuwa mtakatifu ukizingatia nafasi aliyowapa wakristo kupitia nafasi yake ya urais wa watu wote.
Wewe THE BIG SHOW una matatizo gani?.By the way huyu Yericko nyerere,
Huyo nyerere anaejinathibishanae na kulitumia jina lake si baba yake na wala hausiani nae kivyovyote vile,
Aibu kubwa kujiibia jina na kulifanya una uhusiano nalo,familia ya nyerere inafedheheka sana kwa hili...
kwani yeye hautaki? au sio mkatoliki?Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Mseveni amewahimiza wakatoliki wa Tanzania na duniani kwa ujumla kuzidisha maombi kwaajili ya mchakato wa Utakatifu wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere,
Akizingumza zaidi amesema kuwa Mwalimu Julius Nyerere kuwa Mtakatifu ni Heshima ya juu sana kwa Wakatoliki wa Tanzania na dunia nzima, hivyo ni vema kuzidisha maombi ili mchakato wa Mwalimu Julius Nyerere kutoka kuwa MWENYE HERI hivi sasa, aende kuwa MTAKATIFU ambayo ni hadhi ya juu kabisa ya muamini ukatoliki!
Yakaisari muachieni Kaisari na ya Mungu muachieni Mungu!
Yericko Nyerere,Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Mseveni amewahimiza wakatoliki wa Tanzania na duniani kwa ujumla kuzidisha maombi kwaajili ya mchakato wa Utakatifu wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere,
Akizingumza zaidi amesema kuwa Mwalimu Julius Nyerere kuwa Mtakatifu ni Heshima ya juu sana kwa Wakatoliki wa Tanzania na dunia nzima, hivyo ni vema kuzidisha maombi ili mchakato wa Mwalimu Julius Nyerere kutoka kuwa MWENYE HERI hivi sasa, aende kuwa MTAKATIFU ambayo ni hadhi ya juu kabisa ya muamini ukatoliki!
Yakaisari muachieni Kaisari na ya Mungu muachieni Mungu!
Patamu hapo wanaukumbi.Nipo Kampala sasa hivi. Kama Museveni alisema hivyo sijasikia. Nafahamu tu jana kulikuwa na Misa Namugongo Matyrs' Shrine kumuombea Mwalimu,na Museveni hakuwepo,aliwakilishwa na Makamu wa Rais wa Uganda.
Mkuu umeelewa hasa taarifa hiyo hapo juu?
Kwani Yoweri Museveni ni mtoto wa Julius Nyerere?
Tumia akili hata kidogo kila unapolijadili jambo,
Hivi habari zinazomuhusu Mwalimu Nyerere zina haki miliki kuja hapa?
Pole sana kwakukwazika mzee wa gesi ya Ntwara
Huwezi kumuona tena hapa kutia neno zaidi ili kujibu bandiko la Andrew NyerereYericko Nyerere,
Hebu wafaamishe Watanzania hayo maneno ya Museveni kayasemea wapi na lini, hebu hapa chini msome mtoto wa Julius Kambarage Nyerere, ni mtoto wa kwanza wa Mwalimu.
Patamu hapo wanaukumbi.
Yericko Nyerere,
Hebu wafaamishe Watanzania hayo maneno ya Museveni kayasemea wapi na lini, hebu hapa chini msome mtoto wa Julius Kambarage Nyerere, ni mtoto wa kwanza wa Mwalimu.
Patamu hapo wanaukumbi.
Huwezi kumuona tena hapa kutia neno zaidi ili kujibu bandiko la Andrew Nyerere
Yeye yuko nyuma ya keyboard wakati wale wanaohusika kwa karibu wako kwenye shughuri hii maalum ambayo ninasikia Watanzania wengi hasa wa mikoa ya kanda ya Ziwa wameenda kwenye hafla hii.
Huyu "mtoto wa Mwl. Nyerere" hata kwenye hafla ya "baba yake" hakwenda? lakini cha kushangaza habari anazileta kabla hata ya wale walioko kwenye hafla yenyewe.
Nipo Kampala sasa hivi. Kama Museveni alisema hivyo sijasikia. Nafahamu tu jana kulikuwa na Misa Namugongo Matyrs' Shrine kumuombea Mwalimu,na Museveni hakuwepo,aliwakilishwa na Makamu wa Rais wa Uganda.
Kanisa Katoliki lipo kwenye mchakato wa kumfanya Mwl. Julius Nyerere kuwa mtakatifu je ukiwa kama mtanzania unafikiri Nyerere anapaswa kuitwa Mtakatifu? Tafakari kabla ya kujibu
Kanisa Katoliki lipo kwenye mchakato wa kumfanya Mwl. Julius Nyerere kuwa mtakatifu je ukiwa kama mtanzania unafikiri Nyerere anapaswa kuitwa Mtakatifu? Tafakari kabla ya kujibu
Utakatifu wa Nyerere unawahusu wakatoliki tu, kama sio mkatoliki, huwezi ukaelewa au ukaelewesha mtu mbali na kutoa hisia za chuki, chuki ambayo inaendena na mafundisho ya baadhi ya dini...
Huwezi kueleweshwa jinsi unavyotaka, ni darasa ambalo hata wiki moja haitoshi. Maadam wewe siyo Mkatoliki, uiache tu ilivyo, wala usiwe na chuki kwa sababu zako binafsi. Hata kazi alizofanya Nyerere kwa bara nzimala Africa ni dhahiri, sasa kama hizo kazi huzioni hata ungewekwa darasani kupigwa shule ya mchakato wa kuwa mtakatifu hutaelewa.yaani hata kueleweshwa hauiwezekani?
Duh hiyo Kali, wakatoliki ni kiboko.