Katika pita pita zangu nimekutana na barua ya kanisa Katoliki Tanzania ambayo inaonyesha kwamba kanisa lipo katika mchakato wa kumtangaza Baba wa taifa, Rais wa kwanza wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Mwl. Julius K. Nyerere kuwa mtakatifu/mwenye heri.