Nyau

Nilikuwa naingia kama gest, napenda sana chit hat
Leo nimeamua kujiunga rasmi.

Watu naowaona sana hapa ni wewe, eric, baga, kabakabana, husyn, wengine nimewasahau.

Nimempenda sana huyu memba mpya...Karibu kitaa kwangu nakaa na flatmate wangu anaitwa Mwali.
Jisikie uko nyumbani.
 
NN, umeniharibia siku! Umenikumbusha boifrendi wangu nyau, enzi zile alikuwa ananipa magood time maskini! Nilikuwa natembelea ford escort mie, mtaa mzima na matrafiki wote wananijua! Haina hata sight mirror by default!
 
Wewe enzi za Nyau ulikuwa umezaliwa?
 
Back
Top Bottom