Nyau

Yaani kuwa nyu memba shida, watu wanakupita tu kama hawakuoni lol
Nimechoka kuwa lonenly, natafuta mke wa kusredi naye.

Labda hata mtu akifa inakuwa hivi, anawafuata ndugu zake yeye anawaona kumbe wenyewe hawamuoni. akiwasemesha wanampita tu.

Mmmmh, shida sana
Pole sana mgeni, karibu jf! Jisikie upo nyumbani. Unamjua Nyau jambazi?
 
Yaani kuwa nyu memba shida, watu wanakupita tu kama hawakuoni lol
Nimechoka kuwa lonenly, natafuta mke wa kusredi naye.

Labda hata mtu akifa inakuwa hivi, anawafuata ndugu zake yeye anawaona kumbe wenyewe hawamuoni. akiwasemesha wanampita tu.

Mmmmh, shida sana

welkam nyu memba.
 
Back
Top Bottom