Nyaraka za Dr Slaa si lolote si chochote - Spika

Kipeng'e umekurupuka au? Halafu hapo unatutaarifu au unatuuliza? Hulazimishwi kufuata Falsafa ya Dk. Slaa.
 
Huyu mseja anateswa na vugu vugu la nafasi ya mgombea urais linalofukuta chini chini huko chadema! kuna watu wanataka kumpima ubavu akiwemo mbowe nasikia ndio maana sasa katoka ofisini yuko mbeya kujipanga..

Umbumbu unakusumbua.....
 
Nafikiri sasa Padre ameanza kuchanganyikiwa. Ni vizuri Pengo amrudishe kundini.
 
meat_pork-6518.jpg
 
Hata nyaraka za EPA walidai ni uongo....tena spika alyepita alitamka sijui naye alikuwa gizani au ni hulka tu
 
Dr Slaa ameanza kutapatapa eti ana nyaraka muhimu za serikali na za ccm
hii ni mbinu mpya ya slaa baada ya kukosa publicity kwa muda mrefu sasa anatafuta
pa kutokea

images

Kama ana nyaraka hizo kwanini hasizitoe?

Mbona nyarak zake zote hazina nguvu mahakamani?
:A S embarassed:
Je kutapatapa huku ndo mwisho wake?:nerd:

Wanaotapatapa ni ccm, kama hizo nyaraka haziwasaidii kwaninini mnamfuatilia? ccm mmekwisha jiandaeni kuondoka 2015.
 
Nimefurahi kujua kuwa "Kupeng'e" ndiyo ID ya spika, karinu sana mheshimiwa spika-Bi lidude.
Dr Slaa ameanza kutapatapa eti ana nyaraka muhimu za serikali na za ccm
hii ni mbinu mpya ya slaa baada ya kukosa publicity kwa muda mrefu sasa anatafuta
pa kutokea

images

Kama ana nyaraka hizo kwanini hasizitoe?

Mbona nyarak zake zote hazina nguvu mahakamani?
:A S embarassed:
Je kutapatapa huku ndo mwisho wake?:nerd:
 
Aliyechanganyikiwa ni wewe na maalimu seif wako. Ndo maana mmeamua kujiozesha kwa ccm

Hapa Maalim Seif na CCM wanahusikaje? unajishusha hadhi ndugu ,hoja hujibiwa kwa hoja sio kubwabwaja. Kama huna cha kuandika nenda kaandamane CCM waje wawachezeshe mkong'oto mukimbilie kujificha kwenye speaker!!!
 
Dr Slaa ameanza kutapatapa eti ana nyaraka muhimu za serikali na za ccm
hii ni mbinu mpya ya slaa baada ya kukosa publicity kwa muda mrefu sasa anatafuta
pa kutokea

images

Kama ana nyaraka hizo kwanini hasizitoe?

Mbona nyarak zake zote hazina nguvu mahakamani?
:A S embarassed:
Je kutapatapa huku ndo mwisho wake?:nerd:

We si juzi tu uliomba life ban sasa mbona unajipendekeza? Nani kakuomba? Kwa sabab hata invisible mwenyewe alikupa za uso
 
Siasa za majitaka zimepitwa na wakati yeye bado kang'ang'ania. Inaonesha hana washauri na huwa hamsikilizi kabisa naibu wake, ambae ana upeo na anahoja za nguvu.
 
Dr Slaa ameanza kutapatapa eti ana nyaraka muhimu za serikali na za ccm
hii ni mbinu mpya ya slaa baada ya kukosa publicity kwa muda mrefu sasa anatafuta
pa kutokea

Kama ana nyaraka hizo kwanini hasizitoe?

Mbona nyarak zake zote hazina nguvu mahakamani?
:A S embarassed:
Je kutapatapa huku ndo mwisho wake?:nerd:

Umezaliwa mwaka gani na wapi?
 
wewe umeandika headng tofauti na humu ndani umeongea pumba,
Kuna mwenzio humu JF aliwahi kusema slaa kaishiwa mabomu sasa kayatoa afu mnamsakama!
 
Siasa za majitaka zimepitwa na wakati yeye bado kang'ang'ania. Inaonesha hana washauri na huwa hamsikilizi kabisa naibu wake, ambae ana upeo na anahoja za nguvu.

Mama, umesahau Gutter politics zilimfanya RA kuachana na Ubunge wa Igunga? Magamba ndiyo wataalamu wa siasa za majitaka.
 
Hivi huyu mtu hajapewa ban?mbona kama kaomba mwenyewe?tena life ban!si ndo huyu alikuwa anamsakama Zitto?au ameona huko kakosa mashiko kamgeukia Slaa?hakika mfa maji haachi kutapatapa!
 
Back
Top Bottom