Yeah...Rejao a.k.a Gamba Bwana yaani Full Kuji Contradict Mwenyewe
Kwakuwa DPP amenitafuta jana ili nimwongezee ushahidi, nitaonana naye kesho kwakuwa kaonyesha uungwana lakini baadhi ya ushahidi sina sababu ya kuwapa kwakuwa najua wanao.
Tunachotaka ni hawa wezi kupelekwa mahakamani kwakuwa wanajulikana. Namaanisha Yusufu Manji na Rostam Aziz
wewe ulitaka ije lini sasa!!!! Kama ni swala la kweli sioni kwa tuwe na maswali mengi sana juu ya time ya hii habari.ni habari njema sana. Inakuwaje habari hii unakuja wakati huu?
Hahaha..umenikumbusha mbali mkuu!Mkuu unamwaga Data hadi basi lakini mbona ulituacha hewani ile ishu ya Shimbo? Au ilikuwa ni changa la macho?
thinking is not prohibited!!!!!! Madhara ya kutoka milembe kabla hujapona vizuri!!!hamna mwananchi wa tanzania asiyelipa kodi labda with an exception of dr wilbroad slaa!
My concern hapa ni hii mada inayotolewa hapa ambayo haina mashiko!
Kwanini wapelekwe mahakamani wakati tayari wanajulikana na wameshaanza kuzirejesha hizo hela?
usiwe kama mlevi aliyeshughulikiwa, na kujitetea kwamba wameshughulikia pombe!Umemaliza?
Hapa sijaona kitu kipya..ni yale yale tu tuliyoyazoea!
Huyu Msemakweli anajitafutia tu umaarufu.
Asante sana mkuu, Ubarikiwe sana. Sasa, ile ya SHIMBO vipi?Kamaliza... Nimewasilisha walau kwa kiwango flani kama alivyoongea japo si neno baada ya neno
Remember the thread? Unakumbuka ilianzishwa na nani? Unakumbuka input yangu? Unakumbuka niliandika kuwa USHAHIDI UPO? Basi, kuwa na subira na acha kuharibu threads nyingine... Kila jambo na wakati wake! Halafu, si lazima kila kitu nikufanyie mimi, ulipata tips, jaribu kupekua kama nilivyofanya. Mimi si mwandishi!Mkuu unamwaga Data hadi basi lakini mbona ulituacha hewani ile ishu ya Shimbo? Au ilikuwa ni changa la macho?
Kama mtu hajaiba, atapata wapi uwezo wa kurudisha hela? Wanaodai kuwa wezi wa Kagoda hawajulikani wanawabana hawa kina Manji kwa lipi? Risiti za marejesho tunazo
Subiri aiongelee Msemakweli, maana hata hii yenyewe si niliiweka mwenyewe hapa kwanza? Akitoka nayo Msemakweli au Dr. Slaa mtawaamini kirahisi... Itakuwa BIG NEWS ha ha ha (wakuu tusivuruge mjadala)Asante sana mkuu, Ubarikiwe sana. Sasa, ile ya SHIMBO vipi?