Nyaraka mpya za Kagoda zawalipua Rostam, Manji

Mh!asante sana mkuu Invisible kwa mawasilisho.,sasa nafsi imetulia....baada ya kuwekwa roho juu na Mzee Mwanakijiji kwenye ile sredi ya count down!
 
Duh mbona inaonekana Rostam hakamatiki!!! Amecheza na sheria za makampuni. Haonekani popote kama mwanahisa ama mkurugenzi sasa utamshitaki vipi huyu?
 
Rejao a.k.a Gamba Bwana yaani Full Kuji Contradict Mwenyewe
Yeah...
Mwanzoni alianza vizuri..nikajua anakuja na kitu kipya ambacho ni so interesting. Nilikuwa na hamu sana ya kukifahamu!
Post zilivyozidi kuendelea nikarealize kuwa ni marudio ya kila kitu! Wana spam tu ubongo wangu
 
Kwakuwa DPP amenitafuta jana ili nimwongezee ushahidi, nitaonana naye kesho kwakuwa kaonyesha uungwana lakini baadhi ya ushahidi sina sababu ya kuwapa kwakuwa najua wanao.

Tunachotaka ni hawa wezi kupelekwa mahakamani kwakuwa wanajulikana. Namaanisha Yusufu Manji na Rostam Aziz

Na una uhakika gani kuwa DPP hana huo ushahidi. Hivi kweli una uhakika kuwa watafikishwa mahakamani chini ya serikali ya CCM? Ina uchungu gani na pesa za wananchi.
 
Mkuu unamwaga Data hadi basi lakini mbona ulituacha hewani ile ishu ya Shimbo? Au ilikuwa ni changa la macho?
 
Namkubali sana huyu msemakweli, cause kaleta chakula( Rostam Aziz ) , Wakati tuna njaa ( uchaguzi wa igunga )
 
Mkuu unamwaga Data hadi basi lakini mbona ulituacha hewani ile ishu ya Shimbo? Au ilikuwa ni changa la macho?
Hahaha..umenikumbusha mbali mkuu!
Na hii habari soon CEO atakuja kututaka radhi kupisha uchunguzi!
Soon hii sredi itaondolewa!
 
hamna mwananchi wa tanzania asiyelipa kodi labda with an exception of dr wilbroad slaa!

My concern hapa ni hii mada inayotolewa hapa ambayo haina mashiko!
thinking is not prohibited!!!!!! Madhara ya kutoka milembe kabla hujapona vizuri!!!
 
Kwanini wapelekwe mahakamani wakati tayari wanajulikana na wameshaanza kuzirejesha hizo hela?

du...kweli magamba mwaka huu mtahalalisha vingi vilivyoharamishwa kisheria!

haya bwana:

1. ngoja nikavunje benki nikakwapue kwa raha zangu...wakinikamata nitazirudisha, wasiponikamata naenda kuweka kahekalu pale masaki!

2. au labda nijaribu kuwa kibaka kwenye vibanda vya kuku? inaweza kulipa nayo nikiwa nakwapua wastani wa vyuku 10 per day!

nchi hii tamu!
 
Umemaliza?
Hapa sijaona kitu kipya..ni yale yale tu tuliyoyazoea!
Huyu Msemakweli anajitafutia tu umaarufu.
usiwe kama mlevi aliyeshughulikiwa, na kujitetea kwamba wameshughulikia pombe!
 
RA alipuliwe mapema ili akose nguvu ya kwenda kusimama jukwani kumnadi mgombea wa ubunge huko Igunga kama walivyo kubaliana na rafiki jk
 
Mkuu unamwaga Data hadi basi lakini mbona ulituacha hewani ile ishu ya Shimbo? Au ilikuwa ni changa la macho?
Remember the thread? Unakumbuka ilianzishwa na nani? Unakumbuka input yangu? Unakumbuka niliandika kuwa USHAHIDI UPO? Basi, kuwa na subira na acha kuharibu threads nyingine... Kila jambo na wakati wake! Halafu, si lazima kila kitu nikufanyie mimi, ulipata tips, jaribu kupekua kama nilivyofanya. Mimi si mwandishi!
 
rejao acha ushabiki wa kijinga.......uliopoona msema kweli amesema yeye ni chadem na atakufa akiwa chadema......ndipo hata uandishi wa ukabadilika na kuanza kumsakama..........huna lolote kijana
 
Back
Top Bottom