Mcharo son
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 4,361
- 3,375
Huo ugonjwa unakolea sana kwenye baridi. Mvua au hali ya majimaji ndio mana Dar iliponyesha mvua siku nzima idadi ya wagonjwa ikadabo. Hii masika na hili gonjwa ndio hatari zaidi.Zipo hisia na tetesi kuwa sisi wenye asili halisi ya Africa hatupati msukosuko mkubwa mkubwa corona isipokuwa wenye maradhi mtambumbuka.
Zipo tetesi pia huko USA jumuia za weusi zinaongoza vifo kulikoni tupeni uzoefu.
Wasalam
cc: Nyani Gabu&Coy
Sent using Jamii Forums mobile app
Angalieni video bbc.com/swahili dira ya dunia wahanga wengi USA ni jamii ya weusi wameweka na takwimu itupe elimu tujihadhari zaidi.