Watanzania wenzetu mliopo USA na nje ya Africa tupeni uzoefu Corona

VAPS

JF-Expert Member
Jul 10, 2012
5,610
13,164
Zipo hisia na tetesi kuwa sisi wenye asili halisi ya Africa hatupati msukosuko mkubwa mkubwa corona isipokuwa wenye maradhi mtambumbuka.
Zipo tetesi pia huko USA jumuia za weusi zinaongoza vifo kulikoni tupeni uzoefu.
Wasalam
cc: Nyani Gabu&Coy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumuulize HUSEIN MACHOZI, pia kuna tofauti kubwa kati ya mwaafrika aliye zaliwa U.S na kukulia huko huko U.S na mwafrika aliye zaliwa Afrika na kwenda kutembea U.S
 
Zipo hisia na tetesi kuwa sisi wenye asili halisi ya Africa hatupati msukosuko mkubwa mkubwa corona isipokuwa wenye maradhi mtambumbuka.
Zipo tetesi pia huko USA jumuia za weusi zinaongoza vifo kulikoni tupeni uzoefu.
Wasalam
cc: Nyani Gabu&Coy

Sent using Jamii Forums mobile app
kuchukua tahadhari za kuepuka mikusanyiko ya watu wengi, kunawa mikono kwa sabuni na maji ikiwezekana maji ya moto mara tu baada ya kushika shika vitu au kusalimiana na mtu, kutoshikashika sehemu za pua, macho au midomo mara kwa mara, kuto kaa sehemu zenye misongamano mikubwa ya watu, umeshika noti ya pesa labda ni dukani nawa mikono, kamaa ni muuza duka au biashara yoyote vaa gloves wakati wakufanya transaction, pia waweza kutumia malipo ya kutumia mitandao badala ya cash in hand. Kama upo kwenye eneo lenye misongamano mikubwa ya watu waweza kuvaa mask hiyo ni njia Nzuri zaidi kwasababu mask ndio protective method. Hakuna haja ya kuogopa zaidi ya kuchukua tahadhari kama hizo hapo juu. Na pia usitishe na kuogopesha watu. Kunywa maji ya moto pia kula vizuri, kula mboga mboga, kula matunda, acha kula mafuta, fanya mazoezi, kama huwezi fanya mazoezi waweza kunywa maji mengi ya moto. Kuhusu kutibu watu kwa nchi za nje watu wamekuwa wakitibiwa dalili na wanapona, wengine wamekuwa wakipona wenyewe. Ila usiogope wala usitishike. Ugonjwa unaathiri mfumo wa upumuaji koo, mara inaanza kukohoa, mara mafua na baadaye anaweza kupata inflammation kwenye mfumo mzima wa upumuaji hiyo inamfanya ashindwe kupumua vizuri, na baadaye anakosa hewa, ndio maana wanasisitiza kufanya mazoezi na kunywa maji ya moto kwa wingi. Kwasababu kirusi anaathiri mfumo wa upumuaji na sio damu kama HIV. Kwa hiyo usiogope ebu beba roho kama ya manesi na madokta wetu. Ambao pamoja na matatizo kama haya lkn Bado wanao moyo wakuto Tishika. Je manesi na madokta nao wakiogopa dunia itakuwaje, hao wanao fanya utafiti wa dawa wakiogopa nao dunia itakuwaje. Silaha kubwa ni kujiamini na kutokua na hofu. Achana na rumors za mitandaoni, chukua tahadhari.
 
Hapa tayari umeshapitwa na wakati ushauri wako.

Corona anaathiri mfumo wa damu na si mapafu.

Kwa mujibu wa tafiti mpya kama alivyochapisha Prof Sharif, corona ana replace Iron Ion kwenye chembe nyekundu za damu na kuifanya chembe hiyo isiweze tena kubeba oxygen na hivyo kupelekea organ muhimu mwilini kukosa hewa.

Pia hizo free Iron ions zinabaki zinaranda randa hovyo kwenye mzunguko wa damu na kuleta tatizo jingine.

Tafuta hiyo article ipo hapa ina maelezo mengi sana muhimu

Hapa hatushindani nawewe toa ushauri wako, mimi sijakariri maneno ya kwenye papers hapo watu wanao tumia ushauri nilio uandika wanapona tafakari vizuri usikurupuke
 
Misinformation is bad news. Actually, in our current climate, misinformation is lethal. It can kill. So please be aware of what you’re spreading. If you cannot verify it, it’s best not to spread it. It’s better to err on the side of caution than to cause panic and pandemonium!

Mkuu taarifa sahihi ni muhimu sana.Shida ipo hata maamlaka zetu wanatoa tahadhari ya kinha pekee, upande wa tiba jawabu ni isolation pekee, shida ipo wapo wasiopenda kujitokeza, ni vyema tukapewa elimu baadhi yetu tujitibu katika self isolation.Itafika pahala miundombinu husika itaelemewa.Tafiti zinasema 80% wagonjwa wanajitibu majumbani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Misinformation is bad news. Actually, in our current climate, misinformation is lethal. It can kill. So please be aware of what you’re spreading. If you cannot verify it, it’s best not to spread it. It’s better to err on the side of caution than to cause panic and pandemonium!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kufanya mazoezi ni miss information? Kula mboga za majani ni miss information? Kunywa maji ya moto ni miss information? Mkuu tumia akili? Hizi ndio tiba ambazo Mungu ametuumbia?
 
Back
Top Bottom