Nyani Ngabu & Co: Mlio USA na nje ya Africa tupeni uhalisia wa picha hili

Corona inaua weusi zaidi ya weupe.

sio suala la kukosa huduma. Waingereza huduma ya afya ni bure na sawa kwa kila mtu lakini wamekufa weusini zaidi ya asilimia70.

hata madaktari wanaokufa weusi ni wengi zaidi.

jiandae weusi wanakufa wengi
Mabosi wangu ni wa huko ubaguzi ndiyo dira yao
 
Wengi hawana bima za afya na pia wengi wazamiaji so waogopa kwenda hosptslin maana wanaishi kimagumashi
 
Shukran sana
Kwa kweli maisha yamebadilika sana tunaogopana
Ukikutana na mtu barabarani unamkwepa hatua kumi ama anakukwepa
Kila baada ya siku 5 natoka mara moja kwenda kununua mkate na maziwa tu
Nje kunatisha kukiwa hamna watu asikuambie mtu
Nawaombea sana na nyie hili gonjwa lisiingie kwa kasi ya huku maana mmh


Sent from my iPhone using Tapatalk
Unatoka kwenda kununa mkate na maziwa ina maana maduka yako wazi?
 
Zipo hisia na tetesi kuwa sisi wenye asili halisi ya Africa hatupati msukosuko mkubwa mkubwa corona isipokuwa wenye maradhi mtambumbuka.
Zipo tetesi pia huko USA jumuia za weusi zinaongoza vifo kulikoni tupeni uzoefu.
Wasalam
cc: Nyani Gabu&Coy

Sent using Jamii Forums mobile app

Angalieni video bbc.com/swahili dira ya dunia wahanga wengi USA ni jamii ya weusi wameweka na takwimu itupe elimu tujihadhari zaidi.
Nani alikwambia Nyani Gabu anakaa USA? Nyani yupo Mbezi Beach Tangi Bovu.
 
Unatoka kwenda kununa mkate na maziwa ina maana maduka yako wazi?

Non essential tu wamefunga yote lakini supermarkets na maduka mengine ya chakula yapo wazi
Tunaruhusiwa kutoka pia mazoezi wanatoka watu ila sio wengi
Watu wamekaa tu ndani
Ukitoka ni dharura tu



Sent from my iPhone using Tapatalk
 
ubaguzi upo lakini sio dhahiri kutokana na uwezo wa MTU
mfano walio wengi wenye hali duni in sawa na anayefanya kazi kwa mchina (Tanzania) kwani ukichelewa kazini ni kuadhibiwa kama kukatwa mshara.

pia inapotokea kama situation ya juzi kufukuzwa kwenye apartments ma-boss wanakuwa hawana msaada nao lakini ukifanikiwa hata kujenga nyumba huku au kuoa it means wataku-treat kama mwenzao but they will discriminate you in other ways.
Unajenga nyumba huko china su sijaelewa sehemu?
 
Hebu tueleze zaidi mkuu, kwa uzoefu ulio nao wa kuishi na hao wachina.
Mbona hawa wanaokuja huku wengine wanatuita manyani, na hata marais wetu wanahusishwa?

Wengine wanatucharaza viboko kabisa, kwa kosa dogo tu la kuchelewa kufika kazini!

Hao unaofanya kazi nao wapoje?

Halafu unasema "ubaguzi wa wale ambao ajira zao ni madaraja ya chini."
Unamaana China wanayo matabaka katika jamii na huku chama cha kicommunist kikitawala? Kidogo inakuwa vigumu kuelewa ulichoandika hapo!
Wallah iyo siku mchina atajaribu kushika kiboko dhidi yangu,nitahakikishwa kavalishwa sandarusi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wallah iyo siku mchina atajaribu kushika kiboko dhidi yangu,nitahakikishwa kavalishwa sandarusi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Taratibu mkuu 'jembelamkono'
Unaweza ukakutana na 'karate' ya nguvu na badala yake wewe ndio ukawa wa kuvalishwa sandarusi.

Unajua, mambo mengine ni kutumia akili zaidi kuliko mihemko kuweza kuyatimiza vizuri bila madhara!

Kwa hiyo mimi napendekeza, akishakufanya hivyo, usiwe na papala, wewe mlie 'timing' tu kwa wakati wako mwenyewe.
Natumaini umenielewa.
 
Lakini tutalipwa na serikali kwa kulala
Watatulipa 80% ya mshahara ili tujikimu la sivyo tutaiba


Sent from my iPhone using Tapatalk
Hapo sawa. Mtu ukila na kulala hiyo yatosha.

Nakumbuka nilikutumaga sehemu hadi corona inakuja hujanipa majibu, basi corona itakuwa kisingizio.

Mungu anakuona, sijasahau😂😂😂
 
Hapo sawa. Mtu ukila na kulala hiyo yatosha.

Nakumbuka nilikutumaga sehemu hadi corona inakuja hujanipa majibu, basi corona itakuwa kisingizio.

Mungu anakuona, sijasahau

Yaani umenikumbusha mbali utafikiri miaka kumi iliyopita
Na hii covid 19 ndio kabisa
Natamani ningekuwa huko nikakaa porini nawinda tu
Maana kula kulala mbaya sana
Ila usijali tuko pamoja na tuombeane uzima tu



Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Watu wananitaja sana wakati huu. Nafarijika.

Mimi nipo sana mkuu. Hakuna siku mwezi huu ambayo sijatuma post JF.

Mtu akisema hanioni, labda ni kwa sababu hajanifuatilia sana tu.

Nashukuru kuweza yafuatayo.

1. Nina uwezo wa kukaa ndani kwa miezi sita, nikiwa natoka nje ya nyumba yangu mara moja kwa mwezi kununua chakula tu.

2. Nina uwezo wa kufanya kazi kutoka nyumbani.

3. Nina uwezo wa kuacha kazi ninayoifanya sasa na kuanza nyingine nzuri zaidi mpya, katikati ya pandemic.

4. Nina uwezo wa kuihakiki familia yangu Tanzania iko na mazingira ya kuwa salama. Nimetoka kuwanunulia wazee chakula cha miezi sita. Kuwatumia wadogo hela za manunuzi hayo.Baada ya wazee na wadogo kukataa mchqngo na kusema hawahitaji mchango huo kwa sababu kwao "food security" ni suala la kawaida kila siku. Wana stock ya kutosha kila siku. Na nikakumbuka parties zetu tangu adoleacence Oysterbay, ilikuwa watu wageni wanaingia ndani ya gate kula na kusaza pilau na soda bila hata kuulizwa card, sishangai. I am talking hundreds to thousands of people. Lakini, nimechangia kuhakiki tu.

5. Hata yakitokea mabaya kabisa nikaondoka, familia yangu iliyobakia haitahangaika. Nina insurance, nina real estate investments, nina stocks, nina 401k, nina cash, nina gold, nina vingine vingi hata siwezi kuvisema.

Short of discovering a cure or a vaccine for Covid-19, something I have neither training nor realistic expectations of attaining, what more could I want?

Mimi niko worried kuhusu Tanzania kuliko nilivyo worried kuhusu mimi.

Sent from my typewriter using Tapatalk
Midondoko ya kiduku lilo hii😀
 
Midondoko ya kiduku lilo hii😀
Mkuu Kiduku Lilo anaanzisha uzi, mimi naandika kujibu watu, kwa mialiko maalum ya watu wenyewe wanataka kumsikia Mzee Baba Kiranga, Mwinyi wa Mkuranga, Muhifadhi wa Amani, Kaka Mkubwa,Mzungu wa Roho,Waziri wa Ubishi na Ligi Zisizo Makombe,Tajiri wa Maneno, Masikini wa Wivu, Mtu wa Msaada, Raia wa Dunia, Mzaramo wa New York...

Raia walitaka kujua kama nimesalimika na dhahama hili linalotukuta.

Na mimi nimewaamkua kwa tabia yangu isiyojali shari wala askari.

Kwa kujinafasi na haki zangu zote za kikatiba.

Muhammad Ali aliwahi kusema, ukisema kitu ulichowahi kukifanya kweli, unasema ukweli tu, hujajitapa.

Na mimi nasema kweli tu, kuna wadogo zangu wengi wanajifunza kutokana na Kaka Mkubwa anavyoishi na kutoa nasaha.

Sasa ulitaka Kaka Mkubwa nije kutangaza njaa hapa mnichangie, au nitangaze naumwa wakati mzima, ndiyo ungefurahi?
 
Mkuu Kiduku Lilo anaanzisha uzi, mimi naandika kujibu watu, kwa mialiko maalum ya watu wenyewe wanataka kumsikia Mzee Baba Kiranga, Mwinyi wa Mkuranga, Muhifadhi wa Amani, Kaka Mkubwa,Mzungu wa Roho,Waziri wa Ubishi na Ligi Zisizo Makombe,Tajiri wa Maneno, Masikini wa Wivu, Mtu wa Msaada, Raia wa Dunia, Mzaramo wa New York...

Raia walitaka kujua kama nimesalimika na dhahama hili linalotukuta.

Na mimi nimewaamkua kwa tabia yangu isiyojali shari wala askari.

Kwa haki zangu zote za kikatiba.

Muhammad Ali aliwahi kusema, ukisema kitu ulichowahi kukifanya kweli, unasema ukweli tu, hujajitapa.

Na mimi nasema kweli tu, kuna wadogo zangu wengi wanajifunza kutokana na kaka mkubwa anavyoishi na kutoa nasaha.

Sasa ulitaka Kaka Mkubwa nije kutangaza njaa hapa mnichangie, au nitangaze naumwa wakati mzima, ndiyo ungefurahi?
😂😂😂 sitiinii neno kaka mkubwa umemaliza! Na hii ndio sababu inayofanya tukukumbuke🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom