Nyaisangah hakutendewa haki hata kidogo

Mommadou Keita

JF-Expert Member
Oct 8, 2013
230
237
Wakati alipokuwa akiumwa, Mtangazaji mahiri hapa nchini, Julius Nyaisangah hakuna hata mwanahabari mmoja aliyekuwa akijali afya yake, wanahabari wa Dar es Salaam hawakuona umuhimu wa kuchangishana na kumhudumia mwenzao lakini alipofariki dunia waliamua kuuteka msiba na kuuleta Dar es es Salaam. Wakatoa ahadi ya kuupeleka kwa ndege mwili wake hadi kijiji kwake alikozaliwa huko Mara.

Hata hivyo, hawakutimiza ahadi hiyo ya kumpeleka kwa ndege baada ya kutafuta umaarufu pale Leaders Club na kisha mwili ukasafirishwa kwa gari hadi huko kwao. Kwa nini basi, waliamua kuuleta mwili Dar? Je, kulikuwa na shinikizo la nani?

Pili, kwa nini waliidharau kamati ya mazishi ya Morogoro kwa kubadilisha jeneza la kumbebea mwili wake na kumweka katika jeneza lingine? Kama kweli walikuwa na uchungu na Julius kwanini hawakujikusanya na kwenda Morogoro kuungana na kamati ya mazishi ya kule na kuangalia upungufu uliopo na kuukamilisha.

Naamini kabisa kwamba Abood alikuwa amejiandaa vyema kuusafirisha mwili wa Nyaisangah hadi kijijini kwake na kila kitu kilikuwa kimekamilika, je kamati iliyoundwa Dar ilikuwa ya kisiasa au kutaka umaarufu.

Ikumbukwe kuwa Nyaisangah alikuwa amefanya kazi Redio Tanzania na Redio One na kikatokea cha kutokea na kuacha kazi, alikuwa na marafiki wengi ambao hawakuweza kumsadia na kumfanya kuwa mmoja wa watangazaji ambao wengeweza kwenda kutangaza katika vyombo vya kimataifa ( vye nje) lakini marafiki hao hawakuwa na msaada wowote kwake, baada ya kufariki ndiyo kila mtu anajidai kuwa ndugu, rafiki na wa kumuonea huruma.

Watz, tuache uzandiki huu wa kuithamani maiti na kutomjali mtu wakati akiwa anaumwa. Binafsi nisingependa kuona hiki kitu kikijirudia kwa mtu mwingine.
 
Hiyo ni Hulka ya Watanzania wengi sio waandishi tu, Mtu anaumwa bila ya Msaada akifariki wanakuwa bize kutengeneza T.shert za kuomboleza. Nyaisanga kaugua akisaidiwa na Familia yake pamoja na Mh.Aboud pekee japo Marafiki na Watu wa Kada yake ya Habari walikuwa wanajua! Msiba ni sehemu ya kupatia umaarufu kwa Viongozi na wapenda sifa siku hizi
 
Jifunze jambo moja!!!!

Ukiwa hai imarisha sana familia yako na kuijengea misingi imara ya kusimamia mambo yao bila kushirikisha watu wa mbali na vikundi shirikishi!!!!

Rafiki zako ni rafiki zako wewe once haupo hawana dhamana ya kusimamia uliyoyaacha kama mlikutana.bar ili mnywe na wewe ushakufa na huwezi kunywa you are good for nothing!!!!!Mke au mume ndio mpango mzima ukitoka hapo ni wadogo au wakubwa zako na spouse kwa umoja,hao marafiki ni kama wataamua kushiriki hawafungwi popote!!!!!

Hivi umefiwa wewe wanakuja marafiki wa marehemu ndugu yako na kukuambia tunaomba sijui tupeleke mwili sabasaba sijui heshima.imefanyaje na unakubali????!!!!!! THIS SIGNIFIES NOTHING BUT A WEAK FAMILY!!!!!!!

TUKIWA HAI TUJENGE FAMILIA ZETU JAMANI
 
Ukweli mtupu umenena vyema rafiki
 
Wakati alipokuwa akiumwa, Mtangazaji mahiri hapa nchini, Julius Nyaisangah hakuna hata mwanahabari mmoja aliyekuwa akijali afya yake, wanahabari wa Dar es Salaam hawakuona umuhimu wa kuchangishana na kumhudumia mwenzao lakini alipofariki dunia waliamua kuuteka msiba na kuuleta Dar es es Salaam. Wakatoa ahadi ya kuupeleka kwa ndege mwili wake hadi kijiji kwake alikozaliwa huko Mara.

Hata hivyo, hawakutimiza ahadi hiyo ya kumpeleka kwa ndege baada ya kutafuta umaarufu pale Leaders Club na kisha mwili ukasafirishwa kwa gari hadi huko kwao. Kwa nini basi, waliamua kuuleta mwili Dar? Je, kulikuwa na shinikizo la nani?

Pili, kwa nini waliidharau kamati ya mazishi ya Morogoro kwa kubadilisha jeneza la kumbebea mwili wake na kumweka katika jeneza lingine? Kama kweli walikuwa na uchungu na Julius kwanini hawakujikusanya na kwenda Morogoro kuungana na kamati ya mazishi ya kule na kuangalia upungufu uliopo na kuukamilisha.

Naamini kabisa kwamba Abood alikuwa amejiandaa vyema kuusafirisha mwili wa Nyaisangah hadi kijijini kwake na kila kitu kilikuwa kimekamilika, je kamati iliyoundwa Dar ilikuwa ya kisiasa au kutaka umaarufu.

Ikumbukwe kuwa Nyaisangah alikuwa amefanya kazi Redio Tanzania na Redio One na kikatokea cha kutokea na kuacha kazi, alikuwa na marafiki wengi ambao hawakuweza kumsadia na kumfanya kuwa mmoja wa watangazaji ambao wengeweza kwenda kutangaza katika vyombo vya kimataifa ( vye nje) lakini marafiki hao hawakuwa na msaada wowote kwake, baada ya kufariki ndiyo kila mtu anajidai kuwa ndugu, rafiki na wa kumuonea huruma.

Watz, tuache uzandiki huu wa kuithamani maiti na kutomjali mtu wakati akiwa anaumwa. Binafsi nisingependa kuona hiki kitu kikijirudia kwa mtu mwingine.

Very nice observation, unafiki na kujionesha ni upuuzi mtupu
 
Hawawezi kujionesha mpaka watakapopata nafasi ya kujipenyeza na kuingia ndani ya familia,there has to be a shield!!!!!!!

Tujenge familia imara,tuwape kujiamini na kuweza kujisimamia,hakika hata ukitoweka watakuhifadhi kwa hali yao bila kuhangaika na misaada ya watu baki na hawatoyumbishwa!!!!!
 
Jifunze jambo moja!!!!

Ukiwa hai imarisha sana familia yako na kuijengea misingi imara ya kusimamia mambo yao bila kushirikisha watu wa mbali na vikundi shirikishi!!!!

Rafiki zako ni rafiki zako wewe once haupo hawana dhamana ya kusimamia uliyoyaacha kama mlikutana.bar ili mnywe na wewe ushakufa na huwezi kunywa you are good for nothing!!!!!Mke au mume ndio mpango mzima ukitoka hapo ni wadogo au wakubwa zako na spouse kwa umoja,hao marafiki ni kama wataamua kushiriki hawafungwi popote!!!!!

Hivi umefiwa wewe wanakuja marafiki wa marehemu ndugu yako na kukuambia tunaomba sijui tupeleke mwili sabasaba sijui heshima.imefanyaje na unakubali????!!!!!! THIS SIGNIFIES NOTHING BUT A WEAK FAMILY!!!!!!!

TUKIWA HAI TUJENGE FAMILIA ZETU JAMANI

Niliposoma hapo tu nikajua nasoma mawazo yako!

Tuombe Mungu tu atuwezeshe tujenge tu familia zetu tukiwa hai kwa kweli
 
Well said mkuu

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Wakati alipokuwa akiumwa, Mtangazaji mahiri hapa nchini, Julius Nyaisangah hakuna hata mwanahabari mmoja aliyekuwa akijali afya yake, wanahabari wa Dar es Salaam hawakuona umuhimu wa kuchangishana na kumhudumia mwenzao lakini alipofariki dunia waliamua kuuteka msiba na kuuleta Dar es es Salaam. Wakatoa ahadi ya kuupeleka kwa ndege mwili wake hadi kijiji kwake alikozaliwa huko Mara.

Hata hivyo, hawakutimiza ahadi hiyo ya kumpeleka kwa ndege baada ya kutafuta umaarufu pale Leaders Club na kisha mwili ukasafirishwa kwa gari hadi huko kwao. Kwa nini basi, waliamua kuuleta mwili Dar? Je, kulikuwa na shinikizo la nani?

Pili, kwa nini waliidharau kamati ya mazishi ya Morogoro kwa kubadilisha jeneza la kumbebea mwili wake na kumweka katika jeneza lingine? Kama kweli walikuwa na uchungu na Julius kwanini hawakujikusanya na kwenda Morogoro kuungana na kamati ya mazishi ya kule na kuangalia upungufu uliopo na kuukamilisha.

Naamini kabisa kwamba Abood alikuwa amejiandaa vyema kuusafirisha mwili wa Nyaisangah hadi kijijini kwake na kila kitu kilikuwa kimekamilika, je kamati iliyoundwa Dar ilikuwa ya kisiasa au kutaka umaarufu.

Ikumbukwe kuwa Nyaisangah alikuwa amefanya kazi Redio Tanzania na Redio One na kikatokea cha kutokea na kuacha kazi, alikuwa na marafiki wengi ambao hawakuweza kumsadia na kumfanya kuwa mmoja wa watangazaji ambao wengeweza kwenda kutangaza katika vyombo vya kimataifa ( vye nje) lakini marafiki hao hawakuwa na msaada wowote kwake, baada ya kufariki ndiyo kila mtu anajidai kuwa ndugu, rafiki na wa kumuonea huruma.

Watz, tuache uzandiki huu wa kuithamani maiti na kutomjali mtu wakati akiwa anaumwa. Binafsi nisingependa kuona hiki kitu kikijirudia kwa mtu mwingine.

Mkuu napingana na ww hapo kua marafiki hawakumsaidia uncle J kwenda nje...hivi kweli uncle J kwa umahiri wa utangazaji na miaka yote aliofanya RTD na radio one alikua ni mtu wa kusaidiwa kweli???au ilitakiwa yy tu afanye juhudi binafsi kufika huko kama walivyofanya wenzake akina mzee wa macharanga...tufike pahali watu wakubali kuwa responsible na maisha yao sio kurusha lawama za kijinga kwa marafiki wakati muda na nafasi vilikuwepo...lazima tukubali kuwa ukipanda bange tegemea kuvuna bange na sio mahindi...nawakilisha!!
 
Nimefurahi kukubali kwamba Uncle J alikuwa na uwezo mkubwa wa kuweza kwenda nje, je, umejiuliza kwa nini hakupata nafasi hiyo hadi kwenda kufia Morogoro badala ya Uingereza ua Ujerumani? Kuna wengi hawakuwa na uwezo wa kufanya kazi kama Uncle J lakini walibebwa na kupewa fursa hizo. Naamini kuwa Uncle J alikuwa na marafiki wengi na wengine wanafanya kazi nje ya nchi,jiulize nani aliyekwenda hata kumpa ushauri wa mawazo kwamba asiende Morogoro na kumshauri kwenda nje?
 
Tatizo ss wabongo Ni wanafki Sana. Ukiwa hai huna dhamani ILA ukifa unadhamani sana tena ya mda mfupi ukitupiwa kaburini Tu kila mtu na lake
 
Aisee, asante kwa ujumbe

jifunze jambo moja!!!!

Ukiwa hai imarisha sana familia yako na kuijengea misingi imara ya kusimamia mambo yao bila kushirikisha watu wa mbali na vikundi shirikishi!!!!

Rafiki zako ni rafiki zako wewe once haupo hawana dhamana ya kusimamia uliyoyaacha kama mlikutana.bar ili mnywe na wewe ushakufa na huwezi kunywa you are good for nothing!!!!!mke au mume ndio mpango mzima ukitoka hapo ni wadogo au wakubwa zako na spouse kwa umoja,hao marafiki ni kama wataamua kushiriki hawafungwi popote!!!!!

Hivi umefiwa wewe wanakuja marafiki wa marehemu ndugu yako na kukuambia tunaomba sijui tupeleke mwili sabasaba sijui heshima.imefanyaje na unakubali????!!!!!! This signifies nothing but a weak family!!!!!!!

Tukiwa hai tujenge familia zetu jamani
 
Hivi kumbe kazi ya utangazaji ni kazi ya shida kiasi hicho mpaka mtu achangiwe pesa ya matibabu?,kwa cheo alichokuwa nacho jamaa mimi kwa mawazo yangu nafikiri ni mtu mwenye pesa lakini hainiingii akilini kwa haya mliyoyazungumza.kumbe kusikia meneja wa redio ama mtangazaji ni cheo au jina tu lakini pesa hakuna!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Tena nadhani ni afadhali alivyokuwa hapa mjini kuliko kule alikokwenda. Wengi wa mjini wanaishi kwa mishiko huku wakiambulia mishahara kiduchu.
 
Jifunze jambo moja!!!!

Ukiwa hai imarisha sana familia yako na kuijengea misingi imara ya kusimamia mambo yao bila kushirikisha watu wa mbali na vikundi shirikishi!!!!

Rafiki zako ni rafiki zako wewe once haupo hawana dhamana ya kusimamia uliyoyaacha kama mlikutana.bar ili mnywe na wewe ushakufa na huwezi kunywa you are good for nothing!!!!!Mke au mume ndio mpango mzima ukitoka hapo ni wadogo au wakubwa zako na spouse kwa umoja,hao marafiki ni kama wataamua kushiriki hawafungwi popote!!!!!

Hivi umefiwa wewe wanakuja marafiki wa marehemu ndugu yako na kukuambia tunaomba sijui tupeleke mwili sabasaba sijui heshima.imefanyaje na unakubali????!!!!!! THIS SIGNIFIES NOTHING BUT A WEAK FAMILY!!!!!!!

TUKIWA HAI TUJENGE FAMILIA ZETU JAMANI

Ni kweli kabisa Mkuu. Famila inatakiwa ijengwe katika misingi imara ili hata siku ukiwa haupo haitayumbishwakuanzia kwenye msiba mpaka maisha baada ya mazishi.
 
Niliposoma hapo tu nikajua nasoma mawazo yako!

Tuombe Mungu tu atuwezeshe tujenge tu familia zetu tukiwa hai kwa kweli

Ulijua nini mamito!!!!!!!?????

Tuombe Mungu huku tukiendelea kuambiana ukweli as well!!!
 
Back
Top Bottom