stow away
JF-Expert Member
- Dec 5, 2022
- 8,887
- 17,549
Hawatobadirisha Mzee elimu imerahisishwa yaan hapo wanafikiria kupunguza D ziwe 1 au 2 mtu asome sio kuipandisha kutoka D kwenda CAtleast joining passes ziwe "C" and not D.

Baadhi ya vyuo nasikia wanafunzi wakifeli, Mwalimu anaundiwa tume! Na Hata wakikuta Mwalimu alitimiza wajibu wake, ataambiwa afanyekusuguasugua hizo maksi zing'ae ili Chuo kiwe na uhakika wa kupata wanafunzi wengi zaidiuchunguzwe.. duniani kote kwenye daktari kuna ngazi,
Nimewahi kuandika hapo kabla kwamba Serikali inatukosea sana kwa kudahili ma failures wa D 3 kwenye fani nyeti kama ya Afya.
Mtu aliyefeli mtihani mdogo kabisa wa Kidato cha 4 ataweza vipi kufaulu mtihani kigumu ya masoko ya Afya? Unadhani kukariri na kuelewa aina za dawa na matumizi yake kwa kila aina ya ugonjwa ni jambo la kitoto?
Mtu kama huyo anaweza vipi kuwa na umakini wa mambo ya oparesheni? Mbaya zaidi wengine wanakimbia wagonjwa walio na majeraha makubwa au wenye ugonjwa mkubwa.
Serikali mnatukosea sana. Afya sio sehemu ya kupatia ajira sasa hivi imekuwa kama ualimu zamani kwamba umekosa hadi Afya? Kisa kuna pass mark ndogo na urahisi wa kupata Ajira.
Ona Sasa nusu ya Madaktari wamefeli mtihani hata waliofaulu ni makalai matupu. Serikali chukueni hatua sasa hamjachelewa.
Kwa ninayoyashuhudia Mahospitalini na hata vyuoni kwao, taarifa ya nusu ya wanafunzi wa Udaktari kufeli mitihani yao ya usajili sijashangaa
Anaanza kama CO harafu anaunga unga Hadi anafikia kuwa MDForm 4 na D tatu anasomaje MD?
Check fact zako kwanza
Wewe ndio huna akili,Mimi Huwa naandika vitu kibao vyenye akiliKwa Mara ya kwanza ChoiceVariable ameandika kitu chenye akili. Kumbe CCM bado Kuna watu wanaojielewa.
1. Siku hizi kila kwenye taarifa ya habari ya itv. Matangazo Ni pampas, kubeti, pombe na vyuo vya afya vinavyochukua watu wenye ufaulu wa D 3. Waziri wa afya yupo, katibu mkuu yupo na professional bodies za madaktari zipo tatizo linafumbiwa macho.
2. Siku hizi kumeibuka maabara za mtaani eti zinatoa ushauri, kupima damu, mkojo na mavi. Kwakua wananchi wengi hawana uwezo, huku ndio wanakwenda kupewa ushauri potofu na kuishia kununua dawa ambazo sio sahihi.
Huo mtihani no lazima, ni mtihani wa leseni iliuweze sasa kuwa full doctor, hata ukifungua hospital yako sawa, lazima ufaulu huo mtihani laa sivyo utakua huna leseni ya kuendesha shughuli za afya lakini unataaluma kichwaniHivi huo mtihani mmoja unapima nini hasa ikiwa hao madaktari wameshafuzu degree zao na kumaliza internship? au ni fitna za kibinadamu na kuwekeana kauzibe.
Hujuii chochote...KUPATA DIVISION ONE YA PCB,Nimewahi kuandika hapo kabla kwamba Serikali inatukosea sana kwa kudahili ma failures wa D 3 kwenye fani nyeti kama ya Afya.
Mtu aliyefeli mtihani mdogo kabisa wa Kidato cha 4 ataweza vipi kufaulu mtihani kigumu ya masoko ya Afya? Unadhani kukariri na kuelewa aina za dawa na matumizi yake kwa kila aina ya ugonjwa ni jambo la kitoto?
Mtu kama huyo anaweza vipi kuwa na umakini wa mambo ya oparesheni? Mbaya zaidi wengine wanakimbia wagonjwa walio na majeraha makubwa au wenye ugonjwa mkubwa.
Serikali mnatukosea sana. Afya sio sehemu ya kupatia ajira sasa hivi imekuwa kama ualimu zamani kwamba umekosa hadi Afya? Kisa kuna pass mark ndogo na urahisi wa kupata Ajira.
Ona Sasa nusu ya Madaktari wamefeli mtihani hata waliofaulu ni makalai matupu. Serikali chukueni hatua sasa hamjachelewa.
Kwa ninayoyashuhudia Mahospitalini na hata vyuoni kwao, taarifa ya nusu ya wanafunzi wa Udaktari kufeli mitihani yao ya usajili sijashangaa
NAKUELEWA SANA MKUU, HIZO DIVISION I ZA SIKU HIZI ZA KUPEANA TUUHujuii chochote...KUPATA DIVISION ONE YA PCB,
NI KITU TOFAUT NA KWENDA KUSOMEA KOZI YA UDAKTAR WA BINADAMU NI KITU TOFAUTI.....
WENYE UFAHAMU TUNAELEWA.....
nikutakie mapumziko mema ya jumamosi ..
UMEFUNGA UZINAKUELEWA SANA MKUU, HIZO DIVISION I ZA SIKU HIZI ZA KUPEANA TUU
Umemaliza kila kitukuponya wagonjwa ni karama. Kuna watu wanayo na hawajaenda shule ya mkoloni
Nchi hii imejaa wambea kuanzia maofisini mpaja mtaani, kuanzia wenye elim mpaka ambao hawakusoma hata darasa moja,Nimewahi kuandika hapo kabla kwamba Serikali inatukosea sana kwa kudahili ma failures wa D 3 kwenye fani nyeti kama ya Afya.
Mtu aliyefeli mtihani mdogo kabisa wa Kidato cha 4 ataweza vipi kufaulu mtihani kigumu ya masoko ya Afya? Unadhani kukariri na kuelewa aina za dawa na matumizi yake kwa kila aina ya ugonjwa ni jambo la kitoto?
Mtu kama huyo anaweza vipi kuwa na umakini wa mambo ya oparesheni? Mbaya zaidi wengine wanakimbia wagonjwa walio na majeraha makubwa au wenye ugonjwa mkubwa.
Serikali mnatukosea sana. Afya sio sehemu ya kupatia ajira sasa hivi imekuwa kama ualimu zamani kwamba umekosa hadi Afya? Kisa kuna pass mark ndogo na urahisi wa kupata Ajira.
Ona Sasa nusu ya Madaktari wamefeli mtihani hata waliofaulu ni makalai matupu. Serikali chukueni hatua sasa hamjachelewa.
Kwa ninayoyashuhudia Mahospitalini na hata vyuoni kwao, taarifa ya nusu ya wanafunzi wa Udaktari kufeli mitihani yao ya usajili sijashangaa
Hahahaaa.Hujuii chochote...KUPATA DIVISION ONE YA PCB,