Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 18,518
- 44,874
Kwani udaktari wanajifunza form six mkuu?Huwezi chukua mwanafunzi mbovu afu ukategemea afauli vizuri.
Vyuoni wanafunzi wanajisifu kuibia mitihani
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Kule vyuoni ndio wanaenda kusomea taaluma.
Halafu mtu kupata division 3 au 2 sio kwamba mbovu kitaaluma.
Ni vile tu form 6 na 4 wanafunzi hupimwa kwa mtihani mmoja tu kitu ambacho vyuoni hakuna
Vyuoni matokeo ya UE na test ndio yanaamua uwezo wa mtu hata matokeo yako mwishoni kwenye GPA. Elimu ya chuo iko fair sana kuliko sekondari