Numekula mtu (dada) na mdogo wake

What kind of advise would you like/seek from JF members?
even your own conscious tells you all!
People/Men like you should be............
Shame on your face
 
kwanza wewe ni mshenzi. Pili hiyo familia iogope kwa sababu baada ya kujua kwamba umetembea na dada yake alitakiwa akatae kukushiriki. hao wanakupeleka kwenye corner nakushauri uchoropoke kabla utajuta baadaye.
 
Wateme wote...,kwani inaonyesha tabia zao sio nzuri,X angekukataa baada ya kujua uhusiano kati yako na dada yako ningemuona ana tabia njema
 
kwani alipokuwa anakunywa pombe alidhani ni chai, je hamuoni anatudanganya, nadhani alikunywa ili azini na dada yake akidhani akifanya hivyo anaweza kupata taaroifa za x na hakupata. ww kijana ni muasherati na mchafuzi, unahitaji kumrudia Yesu akuokoe, vinginevyo utapata matatizo makubwa
 
Watafutie movie inaitwa 'double wedding'.
Ikishindikana make their mom ur desert! Ulijua umeshaharibu na ney, X uliendelea kumsaka wa nini?

Kha! Alikuwa anampenda X ney kajitela mwenyewe,hata kama ningekuwa mm ningebanjua
 
Hapo best cheza na familia yote ila usiende mbali sana, kula wadogo zake kama anao na dada zake wakubwa uvunje record. Utuletee majibu lakini umekula wangapi.
 
Kwa kuwa X hana matatizo na ameamua kuwa nawe basi huna budi kutangaza ndoa mapema,hapa duniani hakuna aliye msafi katika matendo,sikulaumu kwa yaliyotokea na nakupongeza kwa kuwa mkweli kwa X hata baada ya kuwa ulifanya makosa kutembea na dada yake kimakosa wakati lengo lako lilikuwa ni kuwa na mdogo wake.
Usitishike na vitisho vya dada mtu na endelea na maisha kama kawaida.
 
asante sana ndugu
 
Back
Top Bottom