Number plate ikichoka, namba zikawa hafifu, kuna jinsi ya kupata nyingine?

Cashman

JF-Expert Member
Jun 8, 2018
2,296
3,967
Nimeona clip moja ya polisi ITV akisema watakamata watu wenye namba za 3D kwa kuwa ni kinyume na sheria.

Iwapo namba zimepoteza ubora na ni hafifu,kuna utaratibu gani wa kupata mpya?

Nimemshangaa sana kwa maamuzi hayo ambayo ninaona ni kama ya kusumbua raia pasipo sababu za msingi.
Lengo la namba za magari ni nini?
Kama zinawakera si bora waseme tu ziondolewe kabisa.

Iwapo mna dili na makampuni yanayotengeneza hizo number plate, si mseme tu au mtoe elimu kwanza ya jinsi mtu anavyoweza kuzibadili zikiwa zimechoka kwani kuna kampuni zinazotengeza namba hafifu sana.

Hii suala la kamata kamata kwa vitu ambavyo havina madhara kwa mtu yeyote,ni uonevu usio na sababu za msingi kabisa.

Badala ya kushughukia masuala ya using i kuzuia ajali ,ninyi mmeona raia wanafaidi sana wakibandika namba nzuri kwenye magari yao.
 
polisi ITV akisema watakamata watu wenye namba za 3D kwa kuwa ni kinyume na sheria.

Iwapo namba zimepoteza ubora na ni hafifu,kuna utaratibu gani wa kupata mpya?
Mkuu, sio lazima kibao cha namba kiwe kimechoka, hata kama umeona kimebonyea tu unaweza badilisha.

Jinsi ya kufanya, Toa Plate namba zote mbili(Mbele na Nyuma), kisha nenda nazo kwa wanaotengeneza plate namba ukiwa na copy ya kadi ya gari, kisha watakupatia nyingine MPYA, na zile za zamani watabaki nazo. Gharama ni 28,000.

Kuhusu Plate namba za 3D, inasemekana wakiweka zile mashine zao za kudai madeni barabarani, zinashindwa ku-Scan vizuri kwenye 3D plate namba, hivyo wanashindwa kukusanya madeni.

InFact taifa letu limekuwa taifa la kambare, kila mtu ana ndevu. Huyu ataruhusu hiki, kesho mwingine anazuia. POOR ORGANIZATION. tunaishi kwa Mihemko ya baadhi ya watu. Failed State.

Edit: kwa Mliouliza.
KAMPUNI ZILIZOSAJILIWA KUTOA PLATE NUMBER NA TRA
1. Masasi signs Company Limited | 22118260
2. Autozone Limited | 0655/782752837
3. Signs Industries Limited | 2866500/2860440
4. Budda Auto Parts | 0777411149 (Zanzibar)
5. Kiboko Pre-coated sheets | 0683522100/0787970645
6. Muki (T) Limited | 0715001542/0712221882/0622564442
7. Next Telecom Int (T) Ltd and Erich Utsch | 0773290500
 
Mkuu, sio lazima kibao cha namba kiwe kimechoka, hata kama umeona kimebonyea tu unaweza badilisha.

Jinsi ya kufanya, Toa Plate namba zote mbili(Mbele na Nyuma), kisha nenda nazo kwa wanaotengeneza plate namba ukiwa na copy ya kadi ya gari, kisha watakupatia nyingine MPYA, na zile za zamani watabaki nazo. Gharama ni 28,000.

Kuhusu Plate namba za 3D, inasemekana wakiweka zile mashine zao za kudai madeni barabarani, zinashindwa ku-Scan vizuri kwenye 3D plate namba, hivyo wanashindwa kukusanya madeni. Tofauti na hilo hakuna sababu nyingine ninayofahamu.

InFact taifa letu limekuwa taifa la kambare, kila mtu ana ndevu. Huyu ataruhusu hiki, kesho mwingine anazuia. POOR ORGANIZATION. tunaishi kwa Mihemko ya baadhi ya watu.

Failed State.
Napenda number plate za Masasi signs nipeni address yao.
 
Unapitia kwa wakaguzi wa polisi, unaandikiwa ndipo unaenda kwa aliyepewa kandarasi hiyo, kwa sehemu nyingi ni Masasi kampani
 
Mkuu, sio lazima kibao cha namba kiwe kimechoka, hata kama umeona kimebonyea tu unaweza badilisha.

Jinsi ya kufanya, Toa Plate namba zote mbili(Mbele na Nyuma), kisha nenda nazo kwa wanaotengeneza plate namba ukiwa na copy ya kadi ya gari, kisha watakupatia nyingine MPYA, na zile za zamani watabaki nazo. Gharama ni 28,000.

Kuhusu Plate namba za 3D, inasemekana wakiweka zile mashine zao za kudai madeni barabarani, zinashindwa ku-Scan vizuri kwenye 3D plate namba, hivyo wanashindwa kukusanya madeni. Tofauti na hilo hakuna sababu nyingine ninayofahamu.

InFact taifa letu limekuwa taifa la kambare, kila mtu ana ndevu. Huyu ataruhusu hiki, kesho mwingine anazuia. POOR ORGANIZATION. tunaishi kwa Mihemko ya baadhi ya watu.

Failed State.
bado hujatwambia tukabadlishie wap
 
Nimeona clip moja ya polisi ITV akisema watakamata watu wenye namba za 3D kwa kuwa ni kinyume na sheria.

Iwapo namba zimepoteza ubora na ni hafifu,kuna utaratibu gani wa kupata mpya?

Nimemshangaa sana kwa maamuzi hayo ambayo ninaona ni kama ya kusumbua raia pasipo sababu za msingi.
Lengo la namba za magari ni nini?
Kama zinawakera si bora waseme tu ziondolewe kabisa.

Iwapo mna dili na makampuni yanayotengeneza hizo number plate, si mseme tu au mtoe elimu kwanza ya jinsi mtu anavyoweza kuzibadili zikiwa zimechoka kwani kuna kampuni zinazotengeza namba hafifu sana.

Hii suala la kamata kamata kwa vitu ambavyo havina madhara kwa mtu yeyote,ni uonevu usio na sababu za msingi kabisa.

Badala ya kushughukia masuala ya using i kuzuia ajali ,ninyi mmeona raia wanafaidi sana wakibandika namba nzuri kwenye magari yao.
Nenda na plate namba iliyichoka kariakoo posta au mwenge TRA kule kuna dealers binafsi wanakuchongea.Au Magomeni kwa Dick sound
 
Back
Top Bottom