Issue ya 3D number plates kukatazwa imekaaje?

Sep 10, 2023
20
65
Binafsi sioni base ambayo polisi wanatumia kukataza 3D number plates. Kama nilisikiliza vizuri yule kamanda wa polisi aliekua anatoa maelezo alisema kwamba watengenezaji wa hizi number plate walipeleka maombi ya kuzitengeneza legaly ila walikataliwa specificaly sion base ya haya makatazo🤔

Nchi za ulaya wana format kadhaa za number plates ambazo zinatumika legaly na mojawapo ni hii ya 3D,nachoona ni TZ wafanya maamuzi ni kwamba wameamua tu kustick na traditions walizozoea na hawajaruhusu kuexplore jinsi teknolojia zinavoenda.

Nimewahi kumwuliza trafic polisi aniambie kwenye number plates sehem mwanga unaporeflect ni kwenye maandishi au kwenye rangi rangi ya njano/nyeusi akashindwa kunijibu manake hata haelewi🤣
Kupita pita mtandano huko nilipata haya maelezo.

"In many countries, reflective colors are used for number plates to enhance visibility, especially at night or in low-light conditions. The reflective color typically used for number plates is white, as it provides good contrast against the dark background and is highly visible to other drivers. Some countries may also use yellow or silver reflective colors for specific types of vehicles or license plates."

Mimi Binafsi nafikiri kwa TZ ilikosekana tu ushirikiano kati ya hizi maamlaka kila moja inatoa maamuzi yake,wangewapa chance hawa wadau wa sign industries venue wapeleke request zao kuhusu how legal hizi namba zingetumika ,probably hata mapato yangeongezeka mana mtu akichagua fancy plate number angelipia zaidi.

Polisi kusema camera zao haziwezi kusoma number hii ni area nyingine ya discussion manake sisi bado tupo nyuma sana kiteknolojia nchi za wenzetu camera za polisi zina filter maalum kabisa ya kusoma hizo namba kitu ambacho kwa TZ bado tumeshindwa kabisa kuzipata.
 
Wengi wanahemuka tu humu. Hizo plates ni nzuri ndio hasa kutazama kwa macho. Lakini linapokuja suala la camera wanazotega askari barabarani inakuwa ngumu kunasa namba kwa sababu zina reflect so uwezekano wa system kusoma taarifa za gari unakuwa mdogo kwa mifumo iliyopo. Poa kama mjuavyo camera kutegwa kando ya barabara hivyo kuchukua namba katika angle na hizo namba ni 3D kwa hiyo kuna false contour zinaweza kuwa detectes ikasoma namba tofauti na gari inayoonwa mda huo.
 
Ndio kama hizi ?
20240229_003128.jpg
 
Huo ni uzembe wao wasiwabebeshe wenye plate nos za 3D!
 
Back
Top Bottom