Nukuu Ya Leo....

Ukipata mpenzi mpya, usianze kupigia watu kelele ukihisi unadate malaika......malaika wote wapo mbinguni hakuna anayeishi Yaeda Chini.....usidhani huyo ni bora kuliko uliyemuacha....ni kuvumiliana tu....
Ukiuza paka wako wa nyumbani...ukanunua mbwa.....there is no progress....they are all domestic animals....
sawa jamani....?
Nkiki mae?
 
Acha ukabaila wewe.....!!

hahahahaaaaaa!!!...... Preta, nakutumia ticket ya Precision sasa hivi, achana na huyu Kabaila.

unataka kusema hii itakuwa leo leo....precision...? ngicha....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom