Nukuu Ya Leo....

Ukipata mpenzi mpya, usianze kupigia watu kelele ukihisi unadate malaika......malaika wote wapo mbinguni hakuna anayeishi Yaeda Chini.....usidhani huyo ni bora kuliko uliyemuacha....ni kuvumiliana tu....
Ukiuza paka wako wa nyumbani...ukanunua mbwa.....there is no progress....they are all domestic animals....
sawa jamani....?

mbwa atamtoa nduki kijana anayekuja kutaka mchakachua binti yangu while paka litakuwa lajinenepea tuu na kukaa kwenye kochi langu
 
kwani hapa kuna nini ....... sijaelewa mwanzoni, nimerudi hapa lakini sijaelewa..nieleweshwe mie kabla sijarudi kule kwa WAHUNI wa Mbagala na Marais wanaoshangaa shangaa mahekalu ya wenzao.
 
Ukipata mpenzi mpya, usianze kupigia watu kelele ukihisi unadate malaika......malaika wote wapo mbinguni hakuna anayeishi Yaeda Chini.....usidhani huyo ni bora kuliko uliyemuacha....ni kuvumiliana tu....
Ukiuza paka wako wa nyumbani...ukanunua mbwa.....there is no progress....they are all domestic animals....
sawa jamani....?

Nukuu ya leo imenifurahisha! Ngoja niprint niibandike apa kwa nyumba yangu
 
i smell smthng fishy hr, shosti Preta tel us wat happened!if its only a quote then its fine.
 
Last edited by a moderator:
Loh hapa pako na kitu.............Mamaa Preta hebu funguka mpenzi.
But kipenda roho dada, acha atambie wakati kwa sababu anao uhakika nao kwa sasa, we subiria tu ukisikia kimya jua kafikwa!! Au ndo mambo ya debe tupu?

ha ha...nimefurahi nukuu imekutoa chimbo.......
hakuna la zaidi mpenzi....ni kufunzana tu baadhi ya sehemu za maisha......
nukuu hii inaenda na msemo wa wahenga kuwa....'ivumayo haidumu....'
 
ha ha...nimefurahi nukuu imekutoa chimbo.......
hakuna la zaidi mpenzi....ni kufunzana tu baadhi ya sehemu za maisha......
nukuu hii inaenda na msemo wa wahenga kuwa....'ivumayo haidumu....'

Hahahah Mamito umenichumbua hasa maana nikajikuta tu nashawishika!! Nice aksante kwa kutukumbusha maana mh! wengi husahau!
 
Ukipata mpenzi mpya, usianze kupigia watu kelele ukihisi unadate malaika......malaika wote wapo mbinguni hakuna anayeishi Yaeda Chini.....usidhani huyo ni bora kuliko uliyemuacha....ni kuvumiliana tu....
Ukiuza paka wako wa nyumbani...ukanunua mbwa.....there is no progress....they are all domestic animals....
sawa jamani....?

KAMA PRETA NA WENZAKE WALIPATA CHANJO YA NDUI/ small pox vaccine( which seems far from possible as they were born after the era of ndui) wataweza kuwa kwenye nafasi ya kuwahi kusikia maudhui matamu ya wimbo huu uliopigwa 80s. wimbo ulikuwa unaitwa busu pande tatu za uso....just take one min to pass through these lyrics and u will realise how talented this guys were in those days. their theme matches perfectly your nukuu
kwa wanaoukumbuka wimbo wakiwa wanafuatilia mashairi ni kama wanasikia sauti ya mzee bushoke na Jerry nashon a.k.a Dudumizi...unafahamu sauti ya ndege dudumizi
BUSU PANDE TATU - BIMA]
(Bima Lee, kibao kilitungwa na Max Bushoke, kuimbwa
nae pamoja na Jerry Nashon, Athumani Momba, naBwana Mugunda)

(Bushoke)
vipi penzi lajisuta lenyeweeeeeee

vipi sasa mbona lajisuta lenyewe
ulipokubali kunipenda ah ah
hukulazimishwaa
uliahidi kwa ahadi na viapo pia
uliahidi kwa ahadi na viapo pia
mwanzoni ilikuwa penzi motomoto

busu pande zote tatu za uso ohooooo

(wote)
ukweli nimeuona kwenye hili penzi letu
mwenye pendo la udanganyifu sasa ameonekana
kwenye mapenzi ya kweli
watu hushirikiana sheri
kwenye dhiki na faraja
kote hushirikiana
viko wapi sasa jamae
maneno ulionieleza
NAKUPENDA HAKUNA MWENGINE TENA
KUMBE YOTE NI UONGO

(Nashon)
uko wapi sasa moto wa mapenzi yetu mimi na wewe.. mimi nawe mamaa
uko wapi sasa moto wa mapenzi yetu mimina wewe
mbona umezimika hata majivu hayaonekani

mamiii mamiiiii

(wote) Kibwagizo
ama ni kweli mapenzi hayana mdhamini
nimeamini
yaweza vunjika wakati wowote

(Nashon)
ama ni kweli mapenzi hayana mdhamini
duniani duniani siku hizi
I love you busu nyingi ........ uongohuo
mamii mamiii

(wote) kibwagizo

(Nashon)
uko wapi sasa moto wa mapenzi yetu mimi na wewe
mbona umezimika hata majivu hayaonekani
mamii mamii

Tehe hehehe..nakumbuka zamani za kale nilipataga demu..kasimama huyoo... basi nikawa nawatambia washkaji ..e bwanaeee kuna mtoto nimempata kasimama kinoma.... mda ukapita....siku moja eti naenda kuwaoshea washkaji.....tunakaribia maskani kama mita tano hivi mara demu anaanzakutabasamu kuangalia upande wa pili na washkaji kama wawili kati ya wanne nao wanatabasabu..baasi nikajua ni mambo ya usista duu tu nikajipa moyo hawamjui..... tumefika si wakaanza kusalimiana tena kwa kuitana majina yao.....hapo ndo nilichoka kabisaa....
Baadae nikapata faili lake kumbe shii mabeki hamna kabisa.... jamaa alishamtafuna....na alimwaga kwa kuwa hajui kusema sitaki.
 
KAMA PRETA NA WENZAKE WALIPATA CHANJO YA NDUI/ small pox vaccine( which seems far from possible as they were born after the era of ndui) wataweza kuwa kwenye nafasi ya kuwahi kusikia maudhui matamu ya wimbo huu uliopigwa 80s. wimbo ulikuwa unaitwa busu pande tatu za uso....just take one min to pass through these lyrics and u will realise how talented this guys were in those days. their theme matches perfectly your nukuu
kwa wanaoukumbuka wimbo wakiwa wanafuatilia mashairi ni kama wanasikia sauti ya mzee bushoke na Jerry nashon a.k.a Dudumizi...unafahamu sauti ya ndege dudumizi
BUSU PANDE TATU - BIMA]
(Bima Lee, kibao kilitungwa na Max Bushoke, kuimbwa
nae pamoja na Jerry Nashon, Athumani Momba, naBwana Mugunda)

(Bushoke)
vipi penzi lajisuta lenyeweeeeeee

vipi sasa mbona lajisuta lenyewe
ulipokubali kunipenda ah ah
hukulazimishwaa
uliahidi kwa ahadi na viapo pia
uliahidi kwa ahadi na viapo pia
mwanzoni ilikuwa penzi motomoto

busu pande zote tatu za uso ohooooo

(wote)
ukweli nimeuona kwenye hili penzi letu
mwenye pendo la udanganyifu sasa ameonekana
kwenye mapenzi ya kweli
watu hushirikiana sheri
kwenye dhiki na faraja
kote hushirikiana
viko wapi sasa jamae
maneno ulionieleza
NAKUPENDA HAKUNA MWENGINE TENA
KUMBE YOTE NI UONGO

(Nashon)
uko wapi sasa moto wa mapenzi yetu mimi na wewe.. mimi nawe mamaa
uko wapi sasa moto wa mapenzi yetu mimina wewe
mbona umezimika hata majivu hayaonekani

mamiii mamiiiii

(wote) Kibwagizo
ama ni kweli mapenzi hayana mdhamini
nimeamini
yaweza vunjika wakati wowote

(Nashon)
ama ni kweli mapenzi hayana mdhamini
duniani duniani siku hizi
I love you busu nyingi ........ uongohuo
mamii mamiii

(wote) kibwagizo

(Nashon)
uko wapi sasa moto wa mapenzi yetu mimi na wewe
mbona umezimika hata majivu hayaonekani
mamii mamii

Kiongozi nimekugongea like umenikumbusha mbali sana....hizo ndo zilikua nyimbo zetu sio siku hizi wanaruaka ruka tu na kushika map,umbu,
 
Back
Top Bottom