Nukuu Ya Leo....

Hii busara.....hebu wacha dakika tano zipite....
Sasa hebu nimuulize Preta, huko yaeda chini huko.....raha ya biya si ni kunywea baa? biya ya chumbani sio tamu ati...


Vijana wa Mnyamani utawajua tu!....
Kwa watoto wa Ustawi hapa, piga teke mkoloni ukuje pande hii!!
 
he he he, wanakuwa wnawaringishia.

Kuna watu ni 'loner' kwa asili
wana kila kitu, lakini wanasikitika kuona mwingine hata anatabasamu tu.

Nikupe mfano wa kitu nilikiona hapa ofisini kwetu.

Kuna mkaka aliajiriwa, kwa mwonekano kwa kweli haukuwa wa kivile kabisa.

Afu akawa na katabia ka kukrush bila mpangilio ila anakataliwa

rank ya kazi haikuwa mbaya, alikuwa above average.

Baada ya mwaka, akaajiriwa binti mpya, yule binti akamkubali yule kaka.

Wame-date kwa siri weeee, kama ujuavyo mapenzi hayafichiki

jamani watu walivyogundua, ilikuwa hot topic ya mwaka, wanamkandia yule kaka kwa yule binti.

Wapo waliokuwa wanamkandia binti kwa yule kaka, mie nikabaki na swali, huyu kaka tumefanya naye kazi kwa miaka karibu 2, hakuna aliyekuwa anamwona, leo kapata binti kakubali watu wameanza kuwagombanisha, kwa nini?

Mungu si asumani, wamefunga ndoa mwaka huu, yule kijana kimeshapanda kazini, he is flying siku hizi, na kapendeza kabisa.

Watu walinunane lakini.

Kwa nini watu hawapendi kuona wawili wakipendana????
 
Hahahahha we Preta wewe unaupa kazi ya ziada ubongo wangu, na uzee huu mbona nakoma!! Umbbeya kazi wajameni.
Haya endelea bado sijakusoma vema ingawa naona negative kwa mbaaaaaali.

The Finest nakupiga fine sasa hivi yaani wewe ndo wa kunibookia threesome na kina Pope Kaizer na Bigirita??
 
Umenena!
Ukipata mpenzi mpya, usianze kupigia watu kelele ukihisi unadate malaika......malaika wote wapo mbinguni hakuna anayeishi Yaeda Chini.....usidhani huyo ni bora kuliko uliyemuacha....ni kuvumiliana tu....
Ukiuza paka wako wa nyumbani...ukanunua mbwa.....there is no progress....they are all domestic animals....
sawa jamani....?
 
Back
Top Bottom