Nsanzagee
JF-Expert Member
- Jun 28, 2023
- 1,943
- 4,131
Aliyekuumba ndio wa kumwogopa, umwogope binadamu ambaye kaburi linamsubiri?Dah, nshomile alijifanya anajuwa kuliko watoto wa Arusha mjini, kina Kinana.
Aisee, yule alibugi kwelikweli, bora angecheza na watoto wa Dar. kacheza na kijana wa zamani wa pangani?
Huo mtaa wa pangani wa Arusha, kina AM wanapiga magoti kwa vijana wa pale.
Maana pale kuna mchanganyiko maalum, Wasomali, Waarabu, Wahindi, Wamasai, Wachaga, Wameru, mabulushiimagine mchanganyiko huo wa damu, inakuwaje hatari yake?
Mwendazake, Bashiru,msiba, bashite, polepole walicheza na namba mbaya sana.
Ile troop ya kijeshi ya CCM waliyocheza nyo, alibugi sana.
Hivi jamani kuna mwendawazimu asiyelijuwa jeshi la Tanzania lilivyo?
Huku Kikwete, kule Kinana, pale Makamba. Dah. Hap wote jamani wametokea jeshini, hawakuwepo CCM kwa bahati mbaya.
Ni heri ya polepole aliona mbali akaenda kuwaangukia wazee mapema.
Wengine hao nakwambia hutowaona kabisa, huyo Bashiru 99% katemeshwa kama alivyotemeshwa Bashite, na Bashite tena anachelewa instalment ya pili. Ataipata.