Nukuu ya Dkt. Bashiru: "Madalali wa mali za Umma hawawezi kupendezwa na kuhojiwa"

Dah, nshomile alijifanya anajuwa kuliko watoto wa Arusha mjini, kina Kinana.

Aisee, yule alibugi kwelikweli, bora angecheza na watoto wa Dar. kacheza na kijana wa zamani wa pangani?

Huo mtaa wa pangani wa Arusha, kina AM wanapiga magoti kwa vijana wa pale.

Maana pale kuna mchanganyiko maalum, Wasomali, Waarabu, Wahindi, Wamasai, Wachaga, Wameru, mabulushiimagine mchanganyiko huo wa damu, inakuwaje hatari yake?

Mwendazake, Bashiru,msiba, bashite, polepole walicheza na namba mbaya sana.

Ile troop ya kijeshi ya CCM waliyocheza nyo, alibugi sana.

Hivi jamani kuna mwendawazimu asiyelijuwa jeshi la Tanzania lilivyo?

Huku Kikwete, kule Kinana, pale Makamba. Dah. Hap wote jamani wametokea jeshini, hawakuwepo CCM kwa bahati mbaya.

Ni heri ya polepole aliona mbali akaenda kuwaangukia wazee mapema.

Wengine hao nakwambia hutowaona kabisa, huyo Bashiru 99% katemeshwa kama alivyotemeshwa Bashite, na Bashite tena anachelewa instalment ya pili. Ataipata.
Aliyekuumba ndio wa kumwogopa, umwogope binadamu ambaye kaburi linamsubiri?
 
Hawanhaw

Hawaelewi kuwa mwaka wa Kwanza tu kwisha wa kushika madaraka mwendazake, akajimwambafai kwa Samia Suluhu, mama kwani hata aliaga? Kimya kimya akarudi kwao, ashukuriwe Mwinyi na Mkapa waliomrudisha. Kikwete alienda akaambiwa wazi wazi, mimi sikuiomba hii kazi, wewe ndiye ulinishauri, nikakwambia hili jibaba la kisukuma siwezi kufanya nalo kazi. Tafuteni mwengine, tupo wengi.

Kikwete mwana diplomasia hesabu za haraka haraka akaona hapa ni Mwinyi tu, Mwinyi timu Unguja, kufika kuanza kuongea na mama, kuyasikia aliyoambiwa akampigia simu haraka Mkapa. Mkapa hakuweza kumuangusha boss wake wa zamani, akaenda Unguja huku anaumwa. Akabeba yeye jukumu la kuongea na Magu, akarudi siku hiyo hiyo, akaonesha ubabe, hakuenda Ikuku, akamwita Magu nyumbani kwake, akamwita na Kikwete awepo. Mkapa nasikia kama kawa, akalamba vitu vyake. Magu kugika. Akaambiwa. Muombe msamaha Samia na arufi harska. Na udimuingiluentena na kauli zako za ukali usimletee tena. Akataka kubisha asimuombe msamaha amteue mwengine

Mkapa kishapiga vitu vyake, akamoa kavu "kuna mawili, ni yeye au muungano utakufa, na sisi hatukubali muungano ufe, kama huwezi kumuomba ni bora uavhie wewe madaraka" . Chaguwa moja hapa hapa.

Ikabidi akubali yaishe.

Hapo ndipo chuki za dhahiri kwa Kikwete zikaanza. Maana yeye alimwambia Kikwete peke yake, sasa. Kaona vibaya Kikwete kayafikisha mpaka kwa Mwinyi na Mkapa.

Jamaa alikuwa Mjinga sana yule. Ndiyo toka diku hiyo akaomba msamaha kwa simu, Mzee Mwinyi akarudi na Samia Suluhu, wakaenda wote, Mkapa, Mwinyi, Kikwete na Samia Suluhu Ikulu. Ndiyo jqmaanlikwonba msamaha mbele ya wazee na. Likasema ni mambo ya utani tu, hayatska tokea yena, Tanzania ni bora kuliko yeye.

Ndiyomlikaws. Linajiosha kwa safari zote za nje akawa anamwambia mama aende.

Aibu sana kisukuma kumuomba msamaha mwanamke.

Mambo kama haya,hawawez elewa..

That's why tunawaambia kuongoza nchi ni Jukumu zito na lenye kuhitaji hekima nyingi.

Wengine wanafikia hatua hata ya kumuombea kifo Samia utadhan dhamana ya uhai wanaimiliki wao vile au kana kwamba wao wataishi milele dunian hapa,Samia ni chaguo la Mungu hata wakikasirika wavumilie tuh,sasa watashindana na mungu watawezea wapi??
 
Dah, nshomile alijifanya anajuwa kuliko watoto wa Arusha mjini, kina Kinana.

Aisee, yule alibugi kwelikweli, bora angecheza na watoto wa Dar. kacheza na kijana wa zamani wa pangani?

Huo mtaa wa pangani wa Arusha, kina AM wanapiga magoti kwa vijana wa pale.

Maana pale kuna mchanganyiko maalum, Wasomali, Waarabu, Wahindi, Wamasai, Wachaga, Wameru, mabulushiimagine mchanganyiko huo wa damu, inakuwaje hatari yake?

Mwendazake, Bashiru,msiba, bashite, polepole walicheza na namba mbaya sana.

Ile troop ya kijeshi ya CCM waliyocheza nyo, alibugi sana.

Hivi jamani kuna mwendawazimu asiyelijuwa jeshi la Tanzania lilivyo?

Huku Kikwete, kule Kinana, pale Makamba. Dah. Hap wote jamani wametokea jeshini, hawakuwepo CCM kwa bahati mbaya.

Ni heri ya polepole aliona mbali akaenda kuwaangukia wazee mapema.

Wengine hao nakwambia hutowaona kabisa, huyo Bashiru 99% katemeshwa kama alivyotemeshwa Bashite, na Bashite tena anachelewa instalment ya pili. Ataipata.
Mnawakuza kuliko uhalisia.
 
Hawaelewi kuwa mwaka wa Kwanza tu kwisha wa kushika madaraka mwendazake, akajimwambafai kwa Samia Suluhu, mama kwani hata aliaga? Kimya kimya akarudi kwao, ashukuriwe Mwinyi na Mkapa waliomrudisha. Kikwete alienda akaambiwa wazi wazi, mimi sikuiomba hii kazi, wewe ndiye ulinishauri, nikakwambia hili jibaba la kisukuma siwezi kufanya nalo kazi. Tafuteni mwengine, tupo wengi.

Kikwete mwana diplomasia hesabu za haraka haraka akaona hapa ni Mwinyi tu, Mwinyi timu Unguja, kufika kuanza kuongea na mama, kuyasikia aliyoambiwa akampigia simu haraka Mkapa. Mkapa hakuweza kumuangusha boss wake wa zamani, akaenda Unguja huku anaumwa. Akabeba yeye jukumu la kuongea na Magu, akarudi siku hiyo hiyo, akaonesha ubabe, hakuenda Ikuku, akamwita Magu nyumbani kwake, akamwita na Kikwete awepo. Mkapa nasikia kama kawa, akalamba vitu vyake. Magu kugika. Akaambiwa. Muombe msamaha Samia na arufi harska. Na udimuingiluentena na kauli zako za ukali usimletee tena. Akataka kubisha asimuombe msamaha amteue mwengine

Mkapa kishapiga vitu vyake, akamoa kavu "kuna mawili, ni yeye au muungano utakufa, na sisi hatukubali muungano ufe, kama huwezi kumuomba ni bora uavhie wewe madaraka" . Chaguwa moja hapa hapa.

Ikabidi akubali yaishe.

Hapo ndipo chuki za dhahiri kwa Kikwete zikaanza. Maana yeye alimwambia Kikwete peke yake, sasa. Kaona vibaya Kikwete kayafikisha mpaka kwa Mwinyi na Mkapa.

Jamaa alikuwa Mjinga sana yule. Ndiyo toka diku hiyo akaomba msamaha kwa simu, Mzee Mwinyi akarudi na Samia Suluhu, wakaenda wote, Mkapa, Mwinyi, Kikwete na Samia Suluhu Ikulu. Ndiyo jqmaanlikwonba msamaha mbele ya wazee na. Likasema ni mambo ya utani tu, hayatska tokea yena, Tanzania ni bora kuliko yeye.

Ndiyomlikaws. Linajiosha kwa safari zote za nje akawa anamwambia mama aende.

Aibu sana kisukuma kumuomba msamaha mwanamke.
Sema yoteee, ndo unazidi kutufungua wengine macho tujue ya ndani zaidi, nafikiri huyo mkapa angejua ya ndani zaidi bas angekua upande wa JPM.
 
Nimtishe saa hizi usiku ushaingia, sikumtisha mchana kweupe.

Hivi hata picha linavyoenda hulioni kijana?
Mmmm mbona kama povu ? Muache atoe lake Duuu .....ametoka kuswali Jumaa pia ingawa mrengo wake kulia
 
SG wa zamani wa CCM, CS wa zamani ambaye ni Mbunge wa Bunge la Tanzania kwa sasa ndugu Bashiru Oktoba 2018 alisema "Madalali wa mali za umma kamwe hawawezi kupendezwa na hoja za kutaka uwazi kwenye masuala yahusuyo MASLAHI MAPANA kwa TAIFA."

NB: Isomeke madalali wa mali za umma hapo juu.
61f306d20d9ca1c0227f3b5820dab622.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani alirudisha

Heri Nusu Shari kuliko Shari kamili, hali ni tete Watanganyika wamevurugwa!
Na hawa wanaozoa mikononi mwa Samia, na yeye mwenyewe; wakati wao utakapofika watarudisha mali za waTanzania wanazopora sasa hivi. Inawezekana hata wakirudisha ni lazima waonje joto ya jiwe kwa kuwafanyia ukorofi wote huu waTanzania.
 
Dah, nshomile alijifanya anajuwa kuliko watoto wa Arusha mjini, kina Kinana.

Aisee, yule alibugi kwelikweli, bora angecheza na watoto wa Dar. kacheza na kijana wa zamani wa pangani?

Huo mtaa wa pangani wa Arusha, kina AM wanapiga magoti kwa vijana wa pale.

Maana pale kuna mchanganyiko maalum, Wasomali, Waarabu, Wahindi, Wamasai, Wachaga, Wameru, mabulushiimagine mchanganyiko huo wa damu, inakuwaje hatari yake?

Mwendazake, Bashiru,msiba, bashite, polepole walicheza na namba mbaya sana.

Ile troop ya kijeshi ya CCM waliyocheza nyo, alibugi sana.

Hivi jamani kuna mwendawazimu asiyelijuwa jeshi la Tanzania lilivyo?

Huku Kikwete, kule Kinana, pale Makamba. Dah. Hap wote jamani wametokea jeshini, hawakuwepo CCM kwa bahati mbaya.

Ni heri ya polepole aliona mbali akaenda kuwaangukia wazee mapema.

Wengine hao nakwambia hutowaona kabisa, huyo Bashiru 99% katemeshwa kama alivyotemeshwa Bashite, na Bashite tena anachelewa instalment ya pili. Ataipata.
Muda umefika "ndovu" ataaibika.
 
leo amejitokeza, alishahamisha zile pesa kwenye akaunti zake? Au wababe wamemnyang'anya?

Maana nyeti nilizonazo aliulizwa "uta face the music au utatupa tuzirudishe zinapostahiki"?, naona mpaka sauti kama kweli leo imetoka, ni maji ya shingo.

Nahisi kamalizana nao "kistaarabu". Pesa ni mchezo? Tanzania wahuni wengi.
Ungejibu hoja yake,huu mjadala wa bandari umekufanya uhahe sana,hutulii.
 
Back
Top Bottom