sasa kwa taarifa yako mimi ninangozi asilia sijawahi tumia kikorombwezo sipaki wanja,wala sina lipstic ,sitindi nyusi ,wala sijipaki makeup,huwa napaka mafuta ya mtoto mdogo na poda tu ukiniona nakuvutia na utanlamba miguu
,mada hii is so persona na walengwa wengi sio huku piga kampeni manzese,mwananyamala,kigogo,mburahati,gingilamboto,mombasa,magomeni etc
umekuja mjini kuchunguza wadada ,fata kilichokuleta mjini ,mjini biashara mahesabu mikoani,Dar hamna mwanamke asiyekuwa na nywele Dar wanawake hawapasuki miguu,dar hamna mwanamke mweusi ni wewe tu kutopenda weupe sasa kazi kwako chukia usichukie mind your own business
Angallia makalio yake. Hayo rangi yake hubakia originalWanawake/wadada hasa hapa Dar es salaam wengi, ni weupe lakini ukiwachunguza kwa karibu ni kama wameungua sehem fulani za mwili bila kusahau maeneo baadhi ya usoni.Naamini wengi wao ni vidonge, carolite n.k.
Kiasi kwamba sasa kumtambua yupi ni mweupe wa asili na nani ni artificial inakuwa ngumu.
Je mwanamke/mdada mwenye ngozi asili ama weupe wa asili utamtambuaje?
N.B.
NAWACHUKIA WANAWAKE/WADADA WANAOJICHUBUA?
Weupe wa asili unajulikana na weupe wa makopo unajulikana na weupe wa ugonjwa unajulikana kwa kumuona tu mtu, wala haihitaji mbinu au ujuzi.
mbombo!
sasa kwa taarifa yako mimi ninangozi asilia sijawahi tumia kikorombwezo sipaki wanja,wala sina lipstic ,sitindi nyusi ,wala sijipaki makeup,huwa napaka mafuta ya mtoto mdogo na poda tu ukiniona nakuvutia na utanlamba miguu
,mada hii is so persona na walengwa wengi sio huku piga kampeni manzese,mwananyamala,kigogo,mburahati,gingilamboto,mombasa,magomeni etc
Dah, thanks to Jah my Empress is Natural, maana siku hizi dunia imeisha...
Dada zetu wengi Nywele fake, ngozi fake, meno fake, kucha fake, **** fake, matiti fake, mikono fake, tabasamu fake, kope fake.... Dah! Afrikans wamebakiza mental slavery! Hivi haya mambo yataisha lini?
umekuja mjini kuchunguza wadada ,fata kilichokuleta mjini ,mjini biashara mahesabu mikoani,Dar hamna mwanamke asiyekuwa na nywele Dar wanawake hawapasuki miguu,dar hamna mwanamke mweusi ni wewe tu kutopenda weupe sasa kazi kwako chukia usichukie mind your own business
Loh, wewe mama hauishi vituko. umewazaje hayo mamboUmenistua,
Nimedhani sijafunga sarawali
Actions speak louder than words
KABLA...
BAADA...