Ntamtambuaje mdada mwenye weupe wa asili?

bampami

JF-Expert Member
Nov 5, 2011
5,697
4,107
Wanawake/wadada hasa hapa Dar es salaam wengi, ni weupe lakini ukiwachunguza kwa karibu ni kama wameungua sehem fulani za mwili bila kusahau maeneo baadhi ya usoni.Naamini wengi wao ni vidonge, carolite n.k.
Kiasi kwamba sasa kumtambua yupi ni mweupe wa asili na nani ni artificial inakuwa ngumu.
Je mwanamke/mdada mwenye ngozi asili ama weupe wa asili utamtambuaje?

N.B.
NAWACHUKIA WANAWAKE/WADADA WANAOJICHUBUA?
 
umekuja mjini kuchunguza wadada ,fata kilichokuleta mjini ,mjini biashara mahesabu mikoani,Dar hamna mwanamke asiyekuwa na nywele Dar wanawake hawapasuki miguu,dar hamna mwanamke mweusi ni wewe tu kutopenda weupe sasa kazi kwako chukia usichukie mind your own business
 
hahahahaa!ujumbe umefika! mi siwapendi mixed colour...mnahangaika na nani?
 
umekuja mjini kuchunguza wadada ,fata kilichokuleta mjini ,mjini biashara mahesabu mikoani,Dar hamna mwanamke asiyekuwa na nywele Dar wanawake hawapasuki miguu,dar hamna mwanamke mweusi ni wewe tu kutopenda weupe sasa kazi kwako chukia usichukie mind your own business

ujumbe umefika!
 
Actions speak louder than words

KABLA...

attachment.php

BAADA...

attachment.php
 
Attachments

  • WEMA-..jpg
    WEMA-..jpg
    40.4 KB · Views: 699
  • MissTz2006.jpg
    MissTz2006.jpg
    13.7 KB · Views: 704
umekuja mjini kuchunguza wadada ,fata kilichokuleta mjini ,mjini biashara mahesabu mikoani,Dar hamna mwanamke asiyekuwa na nywele Dar wanawake hawapasuki miguu,dar hamna mwanamke mweusi ni wewe tu kutopenda weupe sasa kazi kwako chukia usichukie mind your own business

siyo kosa lako. Nimekugusa mpaka moyoni.Pole kwa kuongea ukweli.
Muache carolite hizo
 
sasa kwa taarifa yako mimi ninangozi asilia sijawahi tumia kikorombwezo sipaki wanja,wala sina lipstic ,sitindi nyusi ,wala sijipaki makeup,huwa napaka mafuta ya mtoto mdogo na poda tu ukiniona nakuvutia na utanlamba miguu
,mada hii is so persona na walengwa wengi sio huku piga kampeni manzese,mwananyamala,kigogo,mburahati,gingilamboto,mombasa,magomeni etc
 
Weupe wa asili unajulikana na weupe wa makopo unajulikana na weupe wa ugonjwa unajulikana kwa kumuona tu mtu, wala haihitaji mbinu au ujuzi.

sasa kwa taarifa yako mimi ninangozi asilia sijawahi tumia kikorombwezo sipaki wanja,wala sina lipstic ,sitindi nyusi ,wala sijipaki makeup,huwa napaka mafuta ya mtoto mdogo na poda tu ukiniona nakuvutia na utanlamba miguu
,mada hii is so persona na walengwa wengi sio huku piga kampeni manzese,mwananyamala,kigogo,mburahati,gingilamboto,mombasa,magomeni etc
sasa unaumia nini kama wewe sio mhusika?
 
Back
Top Bottom